Upumbavu wa watanzania wanadhani labda hilo linawahusu wapinzani, hawaoni hatari inayokuja mbeleniUdikteta ulipoanzishwa na jiwe, watu walistuka sana na kung'aka. Huyu bibi raia wa Zanzibar anapoendeleza udikteta wa kuporwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa, watu ni kama washaingia usugu na kuizoea hali hiyo. Hawastuki na kung'aka kama.mwanzo.
Kupiga kura na kura kuheshimiwa ndani ya Sanduku la kura ni Haki yetu kikatiba.Udikteta ulipoanzishwa na jiwe, watu walistuka sana na kung'aka. Huyu bibi raia wa Zanzibar anapoendeleza udikteta wa kuporwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa, watu ni kama washaingia usugu na kuizoea hali hiyo. Hawastuki na kung'aka kama.mwanzo.
Tunakwenda pabaya Kwa Kweli.Upumbavu wa watanzania wanadhani labda hilo linawahusu wapinzani, hawaoni hatari inayokuja mbeleni
Kikatiba ??!Salaam, Shalom!!
Palikuwa na ujumbe usemao:
"Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka).
Swali: 1.
Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa?
Swali no 2.
Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa HAKI ambao ni Haki yetu kikatiba?
Karibuni π
Ndio Katiba mpya,Kikatiba ??!
Au una maana Kikatiba mpya ??! ππ