Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Hatari sana Sasa katibu si angeondoka kimya kimya Ndio nini kuharibiana
Mshahara Wa dhambi ni Mauti. Mauti imeletwa na MKE Wa Masanja ambaye alianza kuchepuka Huku akiwa na Mumewe Wa ndoa. Udanganyifu wake umeleta madhara. Yeye Kwa nini hakujua kuwa kuchepuka nje ya Ndoa ni dhambi Mpaka alipoona Katibu ameoa Sasa anamkazia. Alimkazia Kwa SABABU ya wivu tu kuwa hatapata nafsi ya kumtumia Katibu apendavyo. Katibu Naye alikua anataka angalau Siku Moja Moja.

Kwa hiyo acha inyeshe Ili panapovuja paonekane.
 
Si kwa Masanja.Masanja ana roho mzuri.Angemuachia huyo marehemu mke.
Hapo Masanja anatakiwa amuoe na huyo Mjane Wa Marehemu Aishi Naye. Huyo Mjane Atakua mtiifu sana Kwa Masanja.

Hata Daudi alimuoa MKE Wa Uría Baada ya kifo chake.
Na visa vingi tu ambavyo wajane waliolewa na Watumishi Baada ya matukio Fulani.

Masanja amuoe huyo Mjane Ili Maisha yaendelee. Na MKE Wa masanja awe mpole mana Hata yeye alikua anajigawa Kwa kushare Wanaume wawili. Sasa ni zamu yake kuona wakishea Mwanaume na mwenzake.
 
Sheria Kali tu Ndiyo Jibu Ili Kila MTU aheshimu ndo ya mwenzake. Lakini Kutoa uhusuru kama Sheria zetu za Ndoa zilivyo vilio vitaongezeka Tanzania Kila kukicha mana mitandao Kwa Sasa inawaumbua wazinifu kama inavyowaumbua Wahalifu WENGINE.
Hata Adamu kama palikua na Sheria Kali inayomkataza Hawa kuanzisha mahusiano na Shetani basi ingekua rahisi kuepuka ánguko Lakini Hawa alikua huru kuanzisha urafiki na kuanza kuchati na shetani matokeo yake akakubali Mawazo na ushawishi Wa shetani
 
Hawajui hata kudanganya?
Huo ujumbe umekutwa kwenye simu ya Marehemu alikua amemtumia MKE Wa Masanja na huenda Mjane Wa Marehemu Naye ameniona mana mume amekufa na kuacha simu. Unategemea MKE wa Marehemu ataona simu yake asiipekue. Lakini pia aliwatumia na marafiki zake Wa karibu Ili wajue chanzo Cha yeye kujinyonga.
 
Masikini masanja watu wanajimegea tu mke wake kama pombe ya ngomani
 
Mpaka muda huu huyo mwanamke kashalia machozi pipa na kutiatia huruma ili asamehewe!! Wanawake wanajua kucheza na psychology ya mwanaume
 
Amejinyonga au amenyongwa? Uchunguzi ufanyike
 
Masanja akiendelea na huyo mwanamke nitamdharau
 
Pictures Za Katibu Wa Kanisa La Feel Free Church
Ndiyo JF Imeshindwa Kuzipata
 
Kwa uchafu huu makanisani, kweli kabisa Kuna baadhi ya makanisa yapo kibiashara! Aibu sana hii
 
Dawa ya utajiri kwa wanaume (ndago) sharti ni mkeo kupelekewa moto na mtu mwingine itawaumiza wanaume wengi🤣
 
Ndoa ilikuwa tayar masanja pesa anayo time na mke hana kutwa kutafuta pesa wacha wamsaidie kumpakulia mkewe
Ilo ndiyo tatizo.

Wanaume tukishamzalisha mwanamke tunajiona tumemaliza kila kitu ktk ndoa.

Watapelekewa moto sana hata wakiwa wamezalishwa watoto 7
 
Manara kakazia vijana tutafute pesa.
Shida ya kosho sio pesa ni penzi la Monica ambalo alishawahi kulipa pasipo kuwa na pesa na akafurahia penzi lake akawa anachitiwa mwenye pesa na kupewa yeye sio lazima sote tuwe na pesa mahitaji yanatofautiana
 
Kwani yee ndo mtu wa kuachwa

Anashindwa akomae kutafta pesa analilia mademu
demu ameolewa mda sana anashindwa ku move on!
Kisha akishaipata hiyo pesa afanyie nini na yeye shida yake ni Monika ambae alishawahi kumnyandua akiwa hata hana pesa. Kuna watu wanapesa lakini hawapati hitajiobla moyo wao. Pesa sio ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…