1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Mshahara Wa dhambi ni Mauti. Mauti imeletwa na MKE Wa Masanja ambaye alianza kuchepuka Huku akiwa na Mumewe Wa ndoa. Udanganyifu wake umeleta madhara. Yeye Kwa nini hakujua kuwa kuchepuka nje ya Ndoa ni dhambi Mpaka alipoona Katibu ameoa Sasa anamkazia. Alimkazia Kwa SABABU ya wivu tu kuwa hatapata nafsi ya kumtumia Katibu apendavyo. Katibu Naye alikua anataka angalau Siku Moja Moja.Hatari sana Sasa katibu si angeondoka kimya kimya Ndio nini kuharibiana
Kwa hiyo acha inyeshe Ili panapovuja paonekane.