Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Police siyo wajinga watapeleleza had call zao walizokuwa wanawasiliana kwa njia ya simu, mambo ni mengi mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huo sio upendo ni uteja. Uteja kwenye mapenzi ni ile ya siwezi ishi bila wewe, huu ni upumbavu wa watoto ambao wapo kwenye maturity stage. Yaani saikolojia yake Ili ibalance anahitaji akamalishwe na mtu mwingine. Kiwango cha juu Sana cha upumbavu.
 
Kujiua ni kiwango cha juu Sana cha ubinafsi
 
Shetani wala Mungu apokei mtu aliyejinyonga uitwa vibudu ( REJECT ) uendi kuzimu kwa shetani we ni direct jehanamu.
 
Mkuu tatizo kubwa haya mahusiana ya siku hizi yapo katika mfumo ambao Mwenyezi Mungu hajapanga kabisa na hapa ndio shetani anajichukulia maksi kabisa...
Umenena point kubwa sana vijana wa sasaiv wanampenda mtu kuliko wanavyompenda Mungu
 
Kwani mmejuaje kama ndo Monica huyu anayezungumziwa???

Kuna sehem kamtaja Monica wa Masanja?
Mkuu,unaambiwa hiyo marehemu aliandika huo ujumbe akamtumia WhatsApp mke wa masanja.na hiyo marehemu alikua na mke pia.so mke ndo alieweza kufungua simu ya mumewe anjue nini kimempata ndo akakutana na hayo..
 
Sahihi kabisa, huyo kijana hakuwa mstaarabu ukishashtukiwa acha haraka tena ukishaonywa

Kuna jamaa amewahi kugundua napita na mkewe, alivyonionya nikafuta namba na kunyamaza milele sijawahi kuzungumza tena na yule mwanamke na sitaki.

Ukipata bahati ya kuonywa ni Mungu anakupa nafasi nyingine, kuendelea kukomalia basi lipo unalotafuta
 
Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
Siri imepichuka. Tungojee ya Mchungaji kama atasamehe sabini mara saba.
 
Cha msingi masanja aendelee tu kua na mke wake , maana aliyekua anamgongea ameshajiua .
Ishu ni huyo Monica Kama amepata mwingine Wa kumkuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…