Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Itakua msukuma mwenzao...si unawajua vizuri
Ujingaujinga tuu!
Yaani ujiue kisa mtu asiyekuhusu 😞😞
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua msukuma mwenzao...si unawajua vizuri
Police siyo wajinga watapeleleza had call zao walizokuwa wanawasiliana kwa njia ya simu, mambo ni mengi mkuuHuo ujumbe umekutwa kwenye simu ya Marehemu alikua amemtumia MKE Wa Masanja na huenda Mjane Wa Marehemu Naye ameniona mana mume amekufa na kuacha simu. Unategemea MKE wa Marehemu ataona simu yake asiipekue. Lakini pia aliwatumia na marafiki zake Wa karibu Ili wajue chanzo Cha yeye kujinyonga.
Ni hatari kama ukiyavamia.Mapenzi ni hatari zaidi ya upanga wa jumong
Umenena point kubwa sana vijana wa sasaiv wanampenda mtu kuliko wanavyompenda MunguMkuu tatizo kubwa haya mahusiana ya siku hizi yapo katika mfumo ambao Mwenyezi Mungu hajapanga kabisa na hapa ndio shetani anajichukulia maksi kabisa...
Mkuu,unaambiwa hiyo marehemu aliandika huo ujumbe akamtumia WhatsApp mke wa masanja.na hiyo marehemu alikua na mke pia.so mke ndo alieweza kufungua simu ya mumewe anjue nini kimempata ndo akakutana na hayo..Kwani mmejuaje kama ndo Monica huyu anayezungumziwa???
Kuna sehem kamtaja Monica wa Masanja?
Lengo langu halikuwa Ilo hapo uliloona. Mie Ni mtu wa Mungu Kama wewe Ni wa shetani peke yako hukohukoDunia ya leo hakuna cha mtu wa mungu
Ova
Sahihi kabisa, huyo kijana hakuwa mstaarabu ukishashtukiwa acha haraka tena ukishaonywaHapana Mkuu unajua hii kupigiwa au kupiga siyo kwamba imeanza leo hata zamani haya mambo yalikuapo sana tu, sema wazee wetu walikua waelewa sana kwenda mpaka watoto mkstambua itakua huyo mama hana adabu sana sema kwasasa ni hizi simu zinaharibu zaidi maana kila kitu ni simu hivyo ukitaka kuumia fatilia sana,, lakini nashukuru mke wangu aliamua kukaa kwenye mstari na ilibidi yule kijana amtukane sana maana kitu cha kuchukua picha ya mtu na kuposti bila ridhaa yake ni udhalilishaji mkubwa mno, mbaya zaidi ni mke wa mtu hapa ningeamua kufanya ubaya nadhani hata huyu kijana asingeweza kujua ni nani kamfanyia, maana nilijua nikimfanyia hivi huyu moja kwa moja na mwanamke ningefanya na zaidi mie niliangalia upande mwingine wa sarafu kwamba hivi mimi sijawahi fanya hivyo nikajiona nimefanya sana tu, ndio maana nikaamua kuachana na maamuzi mabaya zaidi ya kumkanya. Lakini sijui vijana tunaelekea wapi kwangu mimi hata iweje kama mwanamke wa mtu nikiona anataka kuzidi lazima nimwambie ache na zaidi huwasisitiza kuheshimu waume zao haijalishi kuna nini kwangu na sikubaliani na mwanamke wa mtu kunipenda... Hivyo ukiamua kujisimamia kwa hivyo utakua mshauri mkuu wa mke wa mtu huku ukiwa unatembea nae tena vizuri tu.
Ilikuwaje Joannah?.Sijaona,Ila Kuna mtu kanielekeza tayari.
Kukubaliwaje tena? Sio kwamba alikua mpenzi wake?Ofcoz hutujui ukweli mkuu,
Ila tunajaribu kufikiria ,hivi angekubaliwa kwanini ajiue
Mungu atupe jicho la tatu kwa kweli.
Siri imepichuka. Tungojee ya Mchungaji kama atasamehe sabini mara saba.Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
Ila huyo Masanja si jina tu? Sina uhakika kama kweli katoka kule.Itakua msukuma mwenzao...si unawajua vizuri
Una akili kubwa
Sawa bwana Koda Looc (code)
💯✅Sahv ndoa ni utumwa tu
Kwanza huwa nawashanga watu wanaofunga ndoa sahvi
We upanga wa jumong kiboko muulize DaesoMapenzi ni hatari zaidi ya upanga wa jumong