AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
😂😂 Siyo mchezo yan🤣🤣🤣🤣 umenifanya nicheke nikiwa kwenye majonzi
Hata Kama siyo yey ila masanja ajitafakar sna kila siku Yuko usa na mbarali kwenye bonde la mpunga Huku amemuacha mke na wahuni eti katibuHivi kwa nini watu wamehitimisha kuwa Monica aliyetajwa ni mke wa Masanja? Hawezi kuwa Monica mwingine tu ambaye sisi hatumjui? Maana kwenye huo ujumbe sijaona mahali mwandishi ameashiria ni mtu gani anayemsema
I will stand one man alone watching all stupid passing bay.Aisee vidume tumeisha , oneitis inawatafuna vijana sana.Yani manhood imeyeyuka yote
Ameandika monica(msukuma wa masanja)Hivi kwa nini watu wamehitimisha kuwa Monica aliyetajwa ni mke wa Masanja? Hawezi kuwa Monica mwingine tu ambaye sisi hatumjui? Maana kwenye huo ujumbe sijaona mahali mwandishi ameashiria ni mtu gani anayemsema
Kwahiyo kama ujumbe katumiwa mke wa masanja na tunaelewa ni mnyenyekevu.. ikawaje ukavuja kwa kasi hivi? Wamevujisha ili watu waelewe kajiua na si kuuliwa au vipi?Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Umeuaaa hahah ila sio woteHakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Usiseme watakuwa wanacheka,SEMA TUNACHEKA,maana nawe u miongoni mwao......Walokole mna MAJUNGU Sana....MnakeraWaumini wa BRUNO MWAKIBOLWA pale MITO YA BARAKA kariakoo watakuwa wanacheka kwa chini chini maana Masanja na Monica waliwakimbia wakajiona wameiva wakaenda kuanzisha kanisa lao!!!
kkkkkkkkklkk!!!!
🤣🤣🤣🤣Watu Wana manenoMsamiati mpya "NYENYE" Hhahaahh
Kabisa!yaani mgenimgeni kwenye game.....kudate na mtu wa dizaini ya katibu jiandae kuletewa mapichapichaKatibu anaonekana hata sio 'mtundu'
Sio kweli mkuu mimi nilikuwa naenda mikesha enzi hizo kusikiliza waimbaji mastaa wa kipindi hicho waliokuwa wanasali hapo na kutikisa nchi kama:Usiseme watakuwa wanacheka,SEMA TUNACHEKA,maana nawe u miongoni mwao......Walokole mna MAJUNGU Sana....Mnakera
Yani hiki kiungo chetu kina majina kuliko kawida🤣🤣🤣🤣Watu Wana maneno
Bali Karama ya Mungu ni uzima wa mileleMSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI: warumi 6:23
Okay,niliijua na wewe Ni mbengo zimefongoka.Sio kweli mkuu mimi nilikuwa naenda mikesha enzi hizo kusikiliza waimbaji mastaa wa kipindi hicho waliokuwa wanasali hapo na kutikisa nchi kama:
J SISTERS
BONY MWAITEGE
FLORA MBASHA NA EMMANUEL
MASANJA N.K
🤣🤣🤣Yani hiki kiungo chetu kina majina kuliko kawida
Huko alipo atandikwe viboko vingi hadi atage.Unajiua?Ili iweje?
Masanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.