Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Huo ujumbe umeaachwa kwenye simu whatsapp au kwenye karatasi?

Huyo mama yake yupo?

Huyo bwana hana mtoto au ndugu mwingine kipenzi au mke ukiachana na mama mzazi? Mbona hajamtaja hapo mwisho?

Wamefahamiana tangu lini na masanja na mkewe?

Nahitaji nivute mawasiliano yao kwenye mtandao...

KUNA KILA DALILI HUYU MTU KAUWAWA... ILA HUYO MUUAJI ANA AKILI ZA KITOTO KUCHEZA MCHEZO WA KITOTO KUFICHA USHAHIDI...
 
Hivi kwa nini watu wamehitimisha kuwa Monica aliyetajwa ni mke wa Masanja? Hawezi kuwa Monica mwingine tu ambaye sisi hatumjui? Maana kwenye huo ujumbe sijaona mahali mwandishi ameashiria ni mtu gani anayemsema
 
Monica alimpa tigo kijana wa watu alivyo idiot akaona hawezi pata utamu huo kokote kule, one idiot gone..!!
 
Hivi kwa nini watu wamehitimisha kuwa Monica aliyetajwa ni mke wa Masanja? Hawezi kuwa Monica mwingine tu ambaye sisi hatumjui? Maana kwenye huo ujumbe sijaona mahali mwandishi ameashiria ni mtu gani anayemsema
Hata Kama siyo yey ila masanja ajitafakar sna kila siku Yuko usa na mbarali kwenye bonde la mpunga Huku amemuacha mke na wahuni eti katibu

Alfu mm namshauri masanja Kama Yuko hapa Ni Bora aachane na mpango wake wa kanisa aachie watu wengine yey adili nabiashra zake na uigizaji ache maramoja hbr za kumiliki kanisa ,hayo yote yasingetokea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini watu wamehitimisha kuwa Monica aliyetajwa ni mke wa Masanja? Hawezi kuwa Monica mwingine tu ambaye sisi hatumjui? Maana kwenye huo ujumbe sijaona mahali mwandishi ameashiria ni mtu gani anayemsema
Ameandika monica(msukuma wa masanja)
Masanja humwita hivyo mkewe na monica ukiingia page yake insta anajiita msukuma wa masanja so bila doubt wa kwenye meseji ni yeye,ila sasa kama ni kweli au si kweli hapo marehemu ndo katuweza🤣🤣🤣🤣
 
Cha muhimu polisi wafanye uchunguzi wa kina maana maswali ni mengi tunayojiuliza. Mimi toka jana nahisi mume wa huyo manzi anaweza ikawa kafanya umafia wa kumtanguliza huyo mshenzi kwa baba mbinguni maana pia haiwezekani kirahisi mtu ajiue kisa mchepuko unaojulikana nchi nzima kuwa ni mke wa mtu. Wengi wetu kama mazingira yangekuwa yanaruhusu tungeua wote wanaochepuka na wake zetu.
 
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;

"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA

Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa

REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA

BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,

SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Kwahiyo kama ujumbe katumiwa mke wa masanja na tunaelewa ni mnyenyekevu.. ikawaje ukavuja kwa kasi hivi? Wamevujisha ili watu waelewe kajiua na si kuuliwa au vipi?

Anyway.. mchizi akiwa USA, Mbarali huku msukuma wa masanja analowa tuu.
 
Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Umeuaaa hahah ila sio wote
 
Waumini wa BRUNO MWAKIBOLWA pale MITO YA BARAKA kariakoo watakuwa wanacheka kwa chini chini maana Masanja na Monica waliwakimbia wakajiona wameiva wakaenda kuanzisha kanisa lao!!!
kkkkkkkkklkk!!!!
Usiseme watakuwa wanacheka,SEMA TUNACHEKA,maana nawe u miongoni mwao......Walokole mna MAJUNGU Sana....Mnakera
 
Usiseme watakuwa wanacheka,SEMA TUNACHEKA,maana nawe u miongoni mwao......Walokole mna MAJUNGU Sana....Mnakera
Sio kweli mkuu mimi nilikuwa naenda mikesha enzi hizo kusikiliza waimbaji mastaa wa kipindi hicho waliokuwa wanasali hapo na kutikisa nchi kama:
J SISTERS
BONY MWAITEGE
FLORA MBASHA NA EMMANUEL
MASANJA N.K
 
Sio kweli mkuu mimi nilikuwa naenda mikesha enzi hizo kusikiliza waimbaji mastaa wa kipindi hicho waliokuwa wanasali hapo na kutikisa nchi kama:
J SISTERS
BONY MWAITEGE
FLORA MBASHA NA EMMANUEL
MASANJA N.K
Okay,niliijua na wewe Ni mbengo zimefongoka.
 
Masanja kila leo USA halafu anasafiri peke yake. Ndo maana anachapiwa mkewe. Monaco itakuwa kapata mwingine wa kumkuna ndo maana akamwaga katibu eti kisa kaoa. R.I.P katibu.

Sijui Kwanini Akili inagoma Kuamini kuwa jamaa Kajiua Mwenyewe…[emoji15][emoji30]Pia Kaandika hayo yalioandikwa…
 
Back
Top Bottom