Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 717
- 666
Kuna kitu Marehemu alipewa ni siri yake, hii sio bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamu ipo kaziniMkuu wanawake hawana kanuni,
Unaweza kusema ukiwa bize na kutafuta hela utachapiwa Ila huku uswazi watu hawana hela na wake zao wanagongwa na Bodaboda au wauza chips
Mambo ni patashika
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Dikembe MutomboKizuri Kula Na Ndugu Zako..
Mbega Aliponzwa Na Manyoya Yake
Dikwembe Dibanza Igomba
Upele umepata mkunajiYaani anavyojisifiaga na nkewe .Yaani watu wanaojianika huku mitandaoni kuwa wanapendana ni uongo mtupu.Reality nyuma ya pazia ni machozi tu. Refer Emmanuel na Flora Mbasha. Kuna interview yao moja walisema wana hadi bank account moja. Kumbe kiukweli ndoa yao ilikuwa machungu tu.
Alipigishwa style ya mahakama ya mafisadi ubongo ukamwagika.Masanja akiwa royo tua wife alikua royo mutombo...
Inaonekana katibu alipewa yote akamwaga ubongo kama asemavyo mzabzab
Tozo na fedha ya dhuruma havijawahi muacha mtu salamaNeno moja la kumfariji Masanja mkandamizaji baada ya kugongewa sana mkewe na aliyekuwa katibu wa kanisa lake.
Kwa mpalange inahusika hiiHabahaha jamani Nakadori alisema kuwa raha ya dunia kutombaner. Msukuma naye katombewa mke. Aisee hamna mbabe kwenye hili
Mwache ashike mapembe wajanja wakamue maziwaNeno moja la kumfariji Masanja mkandamizaji baada ya kugongewa sana mkewe na aliyekuwa katibu wa kanisa lake.
Daah! Yaani kajiwahisha Jehanamu kwa kulilia penzi la mke wa mtu!😢😢😢One idiot amewahi motoni.
Dah jamaa yupo zake kapunga ,mbarali huko kwenye majaruba ya mpunga , huku muhuni anajilia vyake tu.
Wanawake shkamooni ,mamaeeee
Sahihi kabisa [emoji817],ni vigumu kumuelewa mwanamke na kutimiza Mahitaji yake yote!!!Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Yawezekana alimkuta na bikra ya nyumaJamaa si alikuwa anajisifia kuwa alimkuta mke wake ni bikra? Huyo kenge acha agongewe tu alizidisha kiherehere na kujipendekeza kwa watawala
Sitaki kuoa halafu nije kuachana na huyo mwanamke kwa sababu zozote zileMzee acha hzo fikra oa Kam atachapwa na ushahidi unao bas timua Kisha endele na mambo yako mkee achungwi hata siku Moja chunga uone atakavyofanywa
Oa zah wtoto Kam hajatulia bas amsha mkuu
Pepo toka katika jina la yesu muachie Monica nasema Pepo toka
Asante kwa kunipa moyo..japo napitia magumuKama ni kweli nampa pole nyingi sana Emmanuel aka Masanja
Mungu amtie nguvu na kumuongoza kwenye maamuzi sahihi