Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Yaani anavyojisifiaga na nkewe .Yaani watu wanaojianika huku mitandaoni kuwa wanapendana ni uongo mtupu.Reality nyuma ya pazia ni machozi tu. Refer Emmanuel na Flora Mbasha. Kuna interview yao moja walisema wana hadi bank account moja. Kumbe kiukweli ndoa yao ilikuwa machungu tu.
Upele umepata mkunaji
 
Waumini wa BRUNO MWAKIBOLWA pale MITO YA BARAKA kariakoo watakuwa wanacheka kwa chini chini maana Masanja na Monica waliwakimbia wakajiona wameiva wakaenda kuanzisha kanisa lao!!!
kkkkkkkkklkk!!!!
 
Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Sahihi kabisa [emoji817],ni vigumu kumuelewa mwanamke na kutimiza Mahitaji yake yote!!!
 
Mzee acha hzo fikra oa Kam atachapwa na ushahidi unao bas timua Kisha endele na mambo yako mkee achungwi hata siku Moja chunga uone atakavyofanywa
Oa zah wtoto Kam hajatulia bas amsha mkuu
Sitaki kuoa halafu nije kuachana na huyo mwanamke kwa sababu zozote zile

ziwe zakuelezeka hadharani au zakutoelezeka,ndio mana nimechagua kuchelewa kuoa.
 
Back
Top Bottom