Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Usikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Sure mkuu, sawa tutafute hela, na tuwe bize sana, lakini tutenge muda pia wa kutosha wa kuwapelekea moto ipasavyo wenza wetu, hilo nalo ni jukumu kama majukumu mengine.
 
Hizi tamthilia za Kifilipino wanazoangalia vijana wetu zinawatesa sana! 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
Duh..
Isije kuwa aliingia choo cha kike cha kifilipino, akapata shinikizo la moyo baada ya kuvuliwa chupi.....
 
Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Wenye pesa wanachapiwa kila leo

Ova
 
Ndoa hizi zina siri kubwa, aisee
Sahv ndoa ni utumwa tu

Kwanza huwa nawashanga watu wanaofunga ndoa sahvi

Kuna uwezekano mkubwa huyo mke wa masanj alikuwa hamfeel jamaa(masanja)
Yuko naye kwa sababu ya umaaruf na vijisenti tu

Ova
 
MAMA MCHUNGAJI UNAVAA KIMITEGO UNATEGEMEA NINI?

KANISANI MNAVAA OVYO MBONA MKIENDA KWENYE INTERVIEW ZA KUOMBA KAZI MNAVAA KIHESHIMA?

KIZAZI CHA ZINAA NYIE TUKIWASHAURI MNATUONA WASHAMBA!
Hayo makanisa madanguro tu

Ova
 
1. Jamaa ni mjinga sana kujiua.
Yani Marehemu ni mpumbavu sana.

2. Eti kujiua kwa sababu alikuwa anatembea na mke wa Masanja ni uongo sana.
Yani wametegea huyo bwege amejiua ndio waanze kuzusha.

TAZANIA INA WAJINGA WENGI SANA.
Inawezekana pia huyo jamaa alivurugwa kisaikolojia
Lazima kuna nmna ilifanyika
Mpk jamaa akawa depressed
Sema naye kajiua ni ujinga sana

Ova
 
Back
Top Bottom