Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Huyo alikuwa mvulana wa wapi??WANAUME TUNAPUNGUA KWA KASI SANA
 
Feel free church...FEEL FREE TO https://jamii.app/JFUserGuide WHOEVER YOU WANT
 
Kamaa huwaa mnadhani kuwaa kina mama wachungaji huwa hawagawii njee polee Sanaa..hao wamama hawafai tena wanachepukaga jumlaa kbsaa...Nina rafiki yangu ni mama mchungajii anafanya Mambo ya aibuu mnoooo..I feel sorry kwa mume wakee aiseeeeee ni aibuu..sijashangaa kbsaa kwa huyoo mkee wa masanjaaa
Ni kweli... Wake wa wachungaji wanaongoza kupelekewa mjegele nje... mimi kuna mmoja mwaka 2015 nilimkosa kosa alikuwa akijileta kwangu ila sikuwa najuwa codes ilikuwa nimle...
 
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;

"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA

Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa

REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA

BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,

SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Aliye jiua ni choco.. hajui kuna pussy ngapi ameacha

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;

"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA

Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa

REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA

BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,

SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Demu mwenyewe msukuma.. [emoji23]

Angekutans na wa tanga je??!


Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Sana Mkuu maana nakumbuka hata mie ulishawahinipata nilienda kutafuta nikawa mbali na mke wangu huku nyuma akaanza kufanya yake nakijana mmoja hapo sikubahatika kumuona lakini nilikuja kujua baada ya yule kijana kuposti mke wangu Facebook akidai usingizi wake na mie baada ya kuona hivyo nikamuuliza yule kijana vipi mkeo au nini kijana akajibu ndio mke wangu ndipo nilianza kufuatilia zaidi kumbe yule kijana hajui kuwa huyo ni mke wa mtu na alishaambiwa tumeachana na ana mtoto mmoja wakati mke wangu ana watoto watatu na mtoto wa kwanza yuko la sita ajabu huyo kijana hakuelewa lolote, mie kistaarabu niliamua kumwambia kijana achana na mke wangu maana mie sipo tayari kuwatafutia mama mwingine wanangu kisa wewe ajabu yule kijana hakuwa na adabu alianza kurusha matusi hakika iliniuma sana ndio maana vijana wanaangamia kizembe mtu akikusihi kuachana na mke wake anakutaka mema huenda na yeye ashatambua kosa lipo pahala gani, vijana tuwe makini maana hata mie wake za watu nishatumia sana tu hivyo sioni ajabu nikisikia unampiga wangu kikubwa nisijue "Utaumia "
Kwahiyo ulim "commit murder"?
 
Nikijaribu kujitafakari hili Jambo kwa macho ya rohoni,naona Kuna namna Nuru na giza hazichangamani ndio maana Kuna mambo lazima yawekwe nuruni....Hili kabisa la masanja watu tumekuwa na maswali mengi namna ya jinsi linavyoendeshwa,Ni Kama uhuniuhuni na usela na dhihaka, hebu lakini hatujawa na majibu Sahihi hivyo Kuendelea kuwa watazamaji...Kuna mambo Mungu anataka kuonyesha ili uwepo wake udhihirike kwetu,hebu fikiria kabisa linaitwa FEEL FREE,yaani kuwa unachotaka!Monica na marehemu waliamua kuwa free...kikubwa nilichojifunza Mungu yupo anatuangalia tu janjajanja zetu Ila akiamua kukuacha hata kwa seku de Mambo yanabadilika ghafla....Sasa bado huyo mchungaji mwenyewe ngoja siku moja adakwe pale Abudhabi na kamzigo
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji16]
 
Yeye kafa na mpenzi wake kawa mke wa mtu, kajikomoa mwenyewe.
Hawezi kuwa MKE Wa MTU mwenye amani wakati kasababisha mwanamke mwenzake Kawa Mjane Ndani ya ndoa ya muda mfupi.
Unafiki wake Kwa Mumewe lazima uwe pigo kwake mwanyewe.
Haya mambo ya Ndoa yasipochukuliwa Kwa umakini Yanaleta majanga Nakubwa sana kwenye jamii.
Huvi viungo viñapotumika TIFAUTI na taratibu viña majuto makubwa na Hata magonjwa au huzuni Kubwa .
Hawa alipokiuka utaratibu Wa kusikiliza maagizo yaliyotoka Kwa Mungu kupitia Adam laana iliingia Duniani . Mwanamke mwenye Busara anailinda ndoa yake.

MKE Wa masanja Hana Busara.
Na masanja Hana nguvu Tena mbele ya mwanamke Aliyekua anagawa penzi Huku akijifanya anampenda

Masanja Kwanza Kila akitafakari atawaza kuwa kwani alikosa nini? Jibu la haraka ni kwamba hamridhishi kitandani . Sasa nguvu za kiume zitatoka wapi? Ni Bora aachane Naye au atafute mwanamke Mwingine aoe Vinginevyo atapungukiwa na nguvu za kiume akiwa Bado kijana mdogo Kwa stress.
Mana MTU wanakaa pamoja na kuonyesha mapenzi ya Kila aina Halafu anatafuta Mwanaume Mwingine Wa kumsugua kisawasawa inaonyesha masanja hamfikishi ila alikua anamwana masanja kama ATM machine.

Unafi Wa wanawake ni Kitu kibaya sana.
Je, huyo mwanamke ana WATOTO na Masanja au ndio Wa Mwendazake.

Na Wanaume wajiepushe na wake za watu Kwani wanasababisha vilio na matatizo kwenye familia za WENGINE.

Hakuna Tena furaha kwenye ndoa ya Masanja. Masanja alimwamini sana MKE wake. Bora Angekua Yuko bize na mambo yake na kuwa MBALI na Mkewe kidogo angeona ule mwanya Wa Kuwa MBALI ndio uliomponza. Lakini watu wako beneti halafu anatoka na Mtumishi wao. Ni pigo kubwa Kwa masanja na Kanisa lake Kwa ujumla.
Mama mchungaji Hana ushuhuda Tena Zaidí ya maigizo.
 
Tanzania kuna tatizo kubwa sana la akili linatakiwa hatua zichukuliwe haraka sana! Mbaya zaidi jamii tumekuwa tukihusisha matatizo ya akili na imani iwe maombi au ushirikina badala ya kuwaona psychiatrists
Kivipi Wakati MTU anatembea na MKE Wa MTU.

Hivi unaweza ukatembea na MKE Wa Mkuu Wa Majeshi Halafu ajue ubaki salama !!
Kama Utajua kuwa MTU anatembea na mkeo Halafu uchukulie poa wewe ndio kichaa kabisa.

Wewe unawasikiliza wale wabunge wadangaji unafikiri wameongea kitu Cha MAANA.

Kichaa ndio Hana hasira.
Hasira hua ni temporary insanity. Kwa kichaa Hana hasira Kwa SABABU yeye tayari ni insanity.

MTU mwenye akili timamu Labda awe mlevi Wa kupindukia Lakini akiwa SIO mlevi anawaza juu ya tukio lolote baya linapotokea kwenye familia yake.
Yaani MTU asiyejali immoral ethics unawezaje kumwita kuwa anaakili timamu.
Yaani MTU asiye na Mipaka ya kimaadili si ataona Hata Watoto wake wabadili Wanaume na wanawake Halafu anachukulia poa . Huo ni ukichaa . Tanzania tuna wasomi na viongozi waajabu sana . Yani wameona kuwa wanaolalamikia suala la usaliti kwenye ndoa ni waginjwa Wa akili badala ya kutafuta suluhu la watu kuvuruga ndoa za watu.

Tatizo ni serikali kuchukulia suala la Ndoa kuwa ni la madai badala ya jinai kwani wenye pesa watakua hawajali mana wakidaiwa watalipa.

Ni Sawa na umwajiri MTU akuibie Halafu iwe ni madai tu badala ya jinai. Hakuna MTU Atakua mwaminifu kwenye Hali kama hiyo. Familia zinakosa maadili na uaminifu. Siku hizi Hata ukifika maofisini kwenye wafanyakazi Wa jinsia mbili hakuna uwajibikaji mzuri. Watu wapo kingono ngono tu na stori za mapenzi tu,iwe ni haspitalini,shuleni, kwenye vyuo n.k. Ni Hata kwenye magroup ya watu walishakufa jinsia mbili hakuna Tena mambo ya Maendeleo ni Mapenzi tu na ni wake na waume za watu.
Nchi ya mamna hii haiwezi kuwa na Maendeleo ya kijamii. Haitawezekana kamwe kuwa na Taifa lililostarabika bila kujenga Taifa lenye maadili . Watu wanawaza madili Ofisini na kuchepuka na pombe basi. Safari zinapangwa Kwa lengo la kwenda KUFANYA ngono. Ukifika wanapokwenda hawapo sirious na Maendeleo Bali jioni ifike wanywe pombe na wakafanye zinaa. Hapo kama Mfano Mkurugenzi ni mwanamke amekula pesa za Halmashauri au Mhasibu ni mwanamke Halafu ana shape nzuri akishazini na Bosi kuna kuwajibika hapo Tena.

Vyuoni wanafunzi wanapata digrii Kwa zinaa Halafu wakimaliza Chuo wanaitwa wataalamu. Kwa SABABU akipata digrii Kwa ngono Akiingia Bungeni haoni kuwa kuna shida kwenye familia za watu WENGINE mana yeye anachukulia ngono kama Fursa ya Maisha kwake Lakini kichwani hamna utaalam Wowote Wa kuisaidia jamii Zaidí ya kuiangamiza Kwa kumlipa MTU asiyestahili Hata kuwa hai mamilioni ya pesa za Kodi.
 
Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Adamu alikua anamiliki Pepo na Dunia na Kila kilichomo. Viumbe wote mpaka Malaika vilikua vinamsujudia Lakini alimfuata Nyoka na kuanza kuchati Naye na Baadae kaamini kuwa shetani ana akili KULIKO Adamu na akaona Adamu ni mshamba anayekubali kuwa chini ya Mungu badala ya kuwa Sawa na Mungu akaasi.

Mwanamke Hana fórmula Wala msimamo kama hakuna Sheria Kali inayomuumbua. Mfano kama pangekua na Sheria inayowataka Wanandoa kudhibiti mienendo ya simu za wenza wao na kuwafungulia Kesi za jinai wale wanavuruga Ndoa za watu basi Wanandoa wangetulia kwenye ndoa zao Lakini pia ndoa ya ingepewa kipao mbele kwenye mahakama za kawaida Ili aliye muislam akigundulika amedanganya liwe ni kosa kubwa kwani alikua na nafasi ya kuoa wake wengi. Mkristo ahukumiwe kupigwa viboko Kwa kosa la kuchepuka na MKE Wa MTU mana Biblia haimkatazi kuoa Lakini Kwa SABABU aliidanganya jamii kuwa yeye anaoa MKE mmoja na kutulia Naye .
 
Back
Top Bottom