Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Dah qmmk unapika hadi njegere? Mi ghetto nikipika ni chai, mayai, nikijitahidi sana wali, hafu vyombo sioshi naloweka week hafu naweka kwenye friji, hafu naloweka hafu namwaga maji.

Kuna jamaa nilimtembelea ghetto ana hadi kibao cha kukuna nazi na kukanda chapati. Hadi flampen za vitumbua anazo. Yule mwamba nuksi.
 
Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.

Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717
Hpn sio sahih kubaki hvyo wanawake wote hawako hvyo ,tatizo unaoa wanawake wenye majina makubwa na mastaa wa hapa mjini ,kijana toka nenda Kijiji kwenu au mkoani huko kaibue mke wako akija kunadilika mpe red cards Kisha utamrejeaa tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Babu usimshauri hvyo bhan ,[emoji23][emoji23] kwani wew sas s unaishi na bib

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Naishi na bibi yako lakini nilipiga nyeto enzi zangu kupata demu ilikuwa kazi ngumu kuliko sasa hivi kupata milioni 10.
Vijana mna raha sana mnatongoza kwa simu/wasap/meseji au unatuma pesa kwenye simu demu anajua kuwa unataka uchi.
Maisha yenu ni rahisi na laini sana ndio maana wengi wenu hata mattyakko yenu ni lainilaini.
 
Hpn sio sahih kubaki hvyo wanawake wote hawako hvyo ,tatizo unaoa wanawake wenye majina makubwa na mastaa wa hapa mjini ,kijana toka nenda Kijiji kwenu au mkoani huko kaibue mke wako akija kunadilika mpe red cards Kisha utamrejeaa tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye Avatar n ww ? ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom