bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Na wanawake tu, tena wadangajiHata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume tu, tena wenye akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanawake tu, tena wadangajiHata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume tu, tena wenye akili.
Kama wewe ni KE ruksaWewe unafaa kuwekwa ndani asee sio kwa sotojo hilo
Kijana wa darasa la saba umeshamaliza mitihanimwanaume unavaaje shanga utaolewa
We umempa cheo kikubwa mno chegere zinauzwa bei mbaya Mpare kweli huyu chasaka atazimudu.Ungekuta kuna mihogo na pembeni kuna picha ya thamaki hapo unadhani alikuwa Mpare.Huyu atakuwa mtu wa Pwani aliyedhulumika na penziwe utakuwa Mpare! yaan nlivoona hakuna hata kanyama nikajua tu unakotokea
Kwa kawali hako ulikojipimia wewe,ni mchoyo na bahili ,usioe kwani utaua mtoto Wa watu.Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.
Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717
Heehh!!! We konyoo aisee!!Dah qmmk unapika hadi njegere? Mi ghetto nikipika ni chai, mayai, nikijitahidi sana wali, hafu vyombo sioshi naloweka week hafu naweka kwenye friji, hafu naloweka hafu namwaga maji.
Kuna jamaa nilimtembelea ghetto ana hadi kibao cha kukuna nazi na kukanda chapati. Hadi flampen za vitumbua anazo. Yule mwamba nuksi.
Huyu mwamba aliua sanaaaHeehh!!! We konyoo aisee!!
Sku hz nazi unanunua ishakunwa mzee kuna mashne za kukunia nazi zmejaa masokoniNatamani utuekee na kapicha ukiwa unakuna nazi
Sijui kwanini baba yako Alimwagia kwa ndani..Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.
Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717
hahahahahahahafu vyombo sioshi naloweka week hafu naweka kwenye friji, hafu naloweka hafu namwaga maji.
Karne hii watu wanakuna nazi! Kuna mashine za kukuna nazi kwa ufanisi kabisa.Natamani utuekee na kapicha ukiwa unakuna nazi
Hujui kukarangiza mahanjumati vizuri mkuuAlafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.
Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717
Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.
Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc
Hata mie nilipanga hivyo. Sijuwi kilitokea nini mpaka nikaingia choo cha kike!Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.
Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717
Mzee umeweka carrot na Hoho kabisa,huo Muda umeutoa wapiAlafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.
Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717