Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

we utakuwa Mpare! yaan nlivoona hakuna hata kanyama nikajua tu unakotokea
We umempa cheo kikubwa mno chegere zinauzwa bei mbaya Mpare kweli huyu chasaka atazimudu.Ungekuta kuna mihogo na pembeni kuna picha ya thamaki hapo unadhani alikuwa Mpare.Huyu atakuwa mtu wa Pwani aliyedhulumika na penzi
 

Attachments

  • thamaki.JPG
    thamaki.JPG
    4.1 KB · Views: 6
Dah qmmk unapika hadi njegere? Mi ghetto nikipika ni chai, mayai, nikijitahidi sana wali, hafu vyombo sioshi naloweka week hafu naweka kwenye friji, hafu naloweka hafu namwaga maji.

Kuna jamaa nilimtembelea ghetto ana hadi kibao cha kukuna nazi na kukanda chapati. Hadi flampen za vitumbua anazo. Yule mwamba nuksi.
Heehh!!! We konyoo aisee!!
 
Hii ni kwa sababu tu wewe ni domo zege. That's your excuse.
Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.

Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc
 
Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.

Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717
Hata mie nilipanga hivyo. Sijuwi kilitokea nini mpaka nikaingia choo cha kike!
Acha tu mkuu. Haya mambo ukifika wakati hakuna jinsi. Ila kiukweli kabisa hata nipondwe na wahenga humu. Kuoa ni kujiongezea matatizo. Iwe kiakili kimwili na kiimani. Jitahidi goku usiingie kwenye dimbwi lenye karaha kama ndoa ....
 
Mazingira niliyolelewa itakuwa ngumu sana kwangu kuishi bila mke ndani kupika, kufua, kuosha vyombo ni vitu ninavyovichukia kupitiliza, pia itakuwa aibu na kujidharirisha kwa wazazi na jamii kwa mwanaume mzima kuishi pekee bila mwanamke ndani. na kuna mengi kwenye ndoa zaidi ya hayo machache sababu mwanamke ni msaidizi wa mwanaume tangu mwanzo wa dunia na ni mtu peke anayesaidia kuondoa maumivu, mateso na uchungu kwenye maisha ya mwanaume. na pia napenda kuwa na familia yangu na watoto wangu. Mwanaume muoga, mjinga na asiyejitambua pekee ndio ataogopa kuishi na kiumbe dhaifu kama mwanamke.
Considering who doesn't like free pussy?

So hell no! lazima niweke toto zuri ndani.
 
Back
Top Bottom