Ujumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kuhusiana na mwenendo wa ugonjwa unaosababisha 'Changamoto ya Upumuaji'

Ujumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kuhusiana na mwenendo wa ugonjwa unaosababisha 'Changamoto ya Upumuaji'

Screenshot_20210204-222515.png
 
Hakuna sehemu yoyote ya waraka yenye msisitizo kuwa ujumbe unahusu Korona ila wameelzea changamoto ya kupumua na magonjwa mengine ya mlipuko yanavyoweza kupata upenyo katika sintofahamu...
Kwahiyo wewe ndo unanipangia mimi ninavyoelewa mambo? Nafikiri wewe baki na unavyoelewa kuhusu huo waraka na mimi niache na ninavyoamini
 
Ul
Mwaibambe usisite kusema ukweli hii ni Covid na wewe unajua....usiwe mbabaishaji kama Osati...haya ni maisha ya watu na yana thamani kuliko kitu chochote.
We only live once.
Ulitaka atangazeje, akwambie usitoke nyumbani?

Chukua tahadhali ukiona myu anakupa mkono rudisha yako nyuma wala hakuna wa kukulaumu.

Chukurni tahadhali wenyewe sasa mnataka mpaka mlazimishwe?

Mkifiwa ndugu zenu mnamaliza kuzika mnaenda kujichanaganya na wengine, je kwa nini msijifungie siku kumi na nne ili muokoe wengine?
 
MAT wamechomoa betri kwa mbali watafata TUGHE, TAWLGU, STAMICO, RAAWU kwa mbaaaaaaaali sanaaaa yale maoga CWT nayo yatafata kuonyesha nayo yapo masengerema yale ya CWT.
 
Hii nchi yetu ina laana. Kila mtu ni mwoga. Tamko halijulikani lina lenga nini? Madaktari wanahimiza watu kutumia dawa za asili! Ujinga wa karne huu.
Nimepatwa na hasira baada ya kusoma tamko hili. Halina jipya. Ni upuuzi uliofunikwa woga.
 
Ul
Ulitaka atangazeje, akwambie usitoke nyumbani?
Chukua tahadhali ukiona myu anakupa mkono rudisha yako nyuma wala hakuna wa kukulaumu.
Chukurni tahadhali wenyewe sasa mnataka mpaka mlazimishwe?

Mkifiwa ndugu zenu mnamaliza kuzika mnaenda kujichanaganya na wengine, je kwa nini msijifungie siku kumi na nne ili muokoe wengine?
Nijifungie ndani bila ruhusa ya muajiri?
 
Hivi Hadi waraka huu unakuja mitamboni, kuna asiye fahamu kwamba kuna covd Tanzania?
 
Back
Top Bottom