Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapenda sana kujibiwa hawa wahuni ili wa divert mada.Mkuu upotoshaji wao wakati mwingine unaudhi sana.
Wanapenda sana kujibiwa hawa wahuni ili wa divert mada.
Wakiacha uoga familia zao utazilisha wewe?Hata na nyie ni walewale tu waoga.Mnashindwa kisema tu kwamba kuna korona?Hata njia za kujikinga mlizotoa ni za kujikinga dhidi ya korona.Muache uoga nyie bwana.
Kwahiyo wewe ndo unanipangia mimi ninavyoelewa mambo? Nafikiri wewe baki na unavyoelewa kuhusu huo waraka na mimi niache na ninavyoaminiHakuna sehemu yoyote ya waraka yenye msisitizo kuwa ujumbe unahusu Korona ila wameelzea changamoto ya kupumua na magonjwa mengine ya mlipuko yanavyoweza kupata upenyo katika sintofahamu...
Uko makini sana mkuu. Heko.Ugonjwa wa changamoto ya kupumua....wakati huo huo wanasema changamoto ya kupumua siyo ugonjwa bali ni dalili za awali....qumanina zao kabisa.
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimikiHata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Ukiona huelewi jambo ujue halikuhusu wewe bali linamuhusu mumeo.Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Ulitaka atangazeje, akwambie usitoke nyumbani?Mwaibambe usisite kusema ukweli hii ni Covid na wewe unajua....usiwe mbabaishaji kama Osati...haya ni maisha ya watu na yana thamani kuliko kitu chochote.
We only live once.
Hili si tamko ni takataka.Kwani hujaelewa nini hapo? Siyo lazima aseme Covid kwasababu hata akisemahaitabadilisha chochote
Kila Mtaaluma/ kiongozi anajaribu kufunika moto kwa blanketi la pamba!Wanazunguka kweli kusema huo ugonjwa ni Uviko au laa kwani kuna kigugumizi gani ili hali dunia yote inapitia changamoto hii?
Nimepatwa na hasira baada ya kusoma tamko hili. Halina jipya. Ni upuuzi uliofunikwa woga.Hii nchi yetu ina laana. Kila mtu ni mwoga. Tamko halijulikani lina lenga nini? Madaktari wanahimiza watu kutumia dawa za asili! Ujinga wa karne huu.
Kama hili ndilo tamko la chama cha madaktari, basi ni bora hiko chama kifutwe au hao viongozi wachunguzwe uwezo wao kiakili na kitaaluma.Leo kati ya mabandiko ya kisenge kuwahi kuandikwa na hili ni moja wapo....
Nahisi kuna mtu/kitu wanamuogopa/wanakiogopaHata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Hapo wameshauri mikusanyiko isiyo ya lazima isiwepo lakini huko kuna mwamba anapiga mikusanyikoNgoja niginge dinner kwanza!
Nijifungie ndani bila ruhusa ya muajiri?Ul
Ulitaka atangazeje, akwambie usitoke nyumbani?
Chukua tahadhali ukiona myu anakupa mkono rudisha yako nyuma wala hakuna wa kukulaumu.
Chukurni tahadhali wenyewe sasa mnataka mpaka mlazimishwe?
Mkifiwa ndugu zenu mnamaliza kuzika mnaenda kujichanaganya na wengine, je kwa nini msijifungie siku kumi na nne ili muokoe wengine?
Maajabu sana yaniHivi Hadi waraka huu unakuja mitamboni, kuna asiye fahamu kwamba kuna covd Tanzania?