Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Hawajasema kitu.
Amandla...
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi yetu ina laana. Kila mtu ni mwoga. Tamko halijulikani lina lenga nini? Madaktari wanahimiza watu kutumia dawa za asili! Ujinga wa karne huu.Hata na nyie ni walewale tu waoga.Mnashindwa kisema tu kwamba kuna korona?Hata njia za kujikinga mlizotoa ni za kujikinga dhidi ya korona.Muache uoga nyie bwana.
Duuuh uliachika niniHata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Kwa level yao inatosha wasije wakapoteza kazi zao bure kama yule professorHapa hakuna uwazi wowote. Naona tamko limetolewa kiwoga woga na hata hailieleweki dhumuni lake ni nini. Hivi kweli na madaktari wanatoa tamko la aina hii?
Changamoto la upumuaji lipo miaka mingi sana. Ni ugonjwa unaoshika nafasi ya pili kwa kuua baada ya Malaria. Hata bila covid lilikuwepo. Fuateni taratibu za kujikinga badala ya kuleta ushabiki
Wala usingemjibu hawa wapo tu humu kazi yao ni kuharibu tu.Acha kujitoa ufahamu wewe! Hivi lini Tanzania kulikuwa na vifo vingi kiasi hiki hadi Watanzania wengi kuwa na hofu kubwa kiasi hiki?
Jamii yetu imejengeka katika woga na unafiki. Madakatari na wasio madaktari, wote tunanajua tatizo tulilo nalo, lakini madaktari wanaandika kwa kuzunguka, sawa na wale wanasiasa uchwara.Wanazunguka kweli kusema huo ugonjwa ni Uviko au laa kwani kuna kigugumizi gani ili hali dunia yote inapitia changamoto hii?
Kama huna akili huwezi elewa....sujiri Fujo za Gwajima ndo utajua huu ni msumariHata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Wala usingemjibu hawa wapo tu humu kazi yao ni kuharibu tu.
Ni tz pekee ndio watu wanakufa?Acha kujitoa ufahamu wewe! Hivi lini Tanzania kulikuwa na vifo vingi kiasi hiki hadi Watanzania wengi kuwa na hofu kubwa kiasi hiki?
Hakuna sehemu yoyote ya waraka yenye msisitizo kuwa ujumbe unahusu Korona ila wameelzea changamoto ya kupumua na magonjwa mengine ya mlipuko yanavyoweza kupata upenyo katika sintofahamu.Wameamua kuchimoa betri sasa na kuweka wazi kuhusu corona
kichwa cha panzi utaelewaje wewe?maelezo yanaeleweka hata kwa mwanafunzi wa ngumbaru!Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya