Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
"OCD wa Tanga mjini nimemwambia Taarifa yetu ya Mikutano ya Hadhara tuliyowapa ina mikutano kuanzia Tar 10 hadi 24 Sep. Nikamwambia sisi tutaendelea na mikutano yetu 21 na 22 kwa kuwa HAIJAZUIWA. Jibu lake kwangu akaniambia wewe nitahakikisha namaliza huo mguu uliobaki.
"Nimemwambia wacha mguu, njoo uchukue na roho yangu mimi niko tayari kulipa gharama."
Source: Godbles Lema, katika ukurasa wa X
Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea