Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

Wewe ndo uliwaingiza mkenge wenzako na kuja na slogan ya Samia Must Go?
Ni kweli anaondoka lakini wanaomuondoa ni maccm wenzake, huu mpango umesukwa kiuandamizi sana na ameingia mwenyewe tena mzima mzima kwenye mfumo. Chadema watatumika tu kukamilisha lakini mikakati yote imesukwa huko huko na masikini hata nyie wapambe na chawa wake mnamshangilia mkiamini wanaosulubiwa ni Chadema kumbe mtu wenu katupiwa kitanzi akakidaka na kujivisha mwenyewe shingoni bado kuvuta kamba tu. Hatimaye unabii wa JK unaenda kutimia kwani mambo yanaenda kuharibika sana kuanzia J3.
 
Bonyeza alama ya reli kupata vichekesho zaidi kama hivi.
 
Ni kweli anaondoka lakini wanaomuondoa ni maccm wenzake, huu mpango umesukwa kiuandamizi sana na ameingia mwenyewe tena mzima mzima kwenye mfumo. Chadema watatumika tu kukamilisha lakini mikakati yote imesukwa huko huko na masikini hata nyie wapambe na chawa wake mnamshangilia mkiamini wanaosulubiwa ni Chadema kumbe mtu wenu katupiwa kitanzi akakidaka na kujivisha mwenyewe shingoni bado kuvuta kamba tu. Hatimaye unabii wa JK unaenda kutimia kwani mambo yanaenda kuharibika sana kuanzia J3.
Hayo tumeanza kuyasikia zamani sana. Toka Mbowe alipobwagwa kwa kura 80% na Kikwete.
 
Back
Top Bottom