Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

Kwahiyo unakubali kwamba Sa100 ndyo anavunja na kuuwa watu?
Ndiyo. Kwanj jpm si aliua sana mlifanya nini. Samia hajafika hata aslimia 10 ya mauaji ya jpm. Na tafiti zinasema ukiua sana ndo unapendwa. Ndiyo mana jpm anapendwa kwa sababu aliua. Understood?
 
Ndiyo. Kwanj jpm si aliua sana mlifanya nini. Samia hajafika hata aslimia 10 ya mauaji ya jpm. Na tafiti zinasema ukiua sana ndo unapendwa. Ndiyo mana jpm anapendwa kwa sababu aliua. Understood?
Hujielewi
 
Sasa hapo Kuna ushaidi wa kumtia mtu hatiani mkuu!?
Hayo maneno amesema afande, na Lissu alisikia au kuona.

Na shahidi bora ni yule aliye sikia jambo la kusikika, au aliyeona jambo la kuonekana.
 
Tatizo Chura kiziwi amezidi kuvipa rushwa na ahadi ya vyeo watendaji wa vyombo vya usalama.
Yaani wamejiapiza kuteka, kutesa, kuua na kuteketeza!
Wamesahau jukumu lao la msingi, kulinda usalama wa raia, sasa wamegeuka na kuhatarisha usalama wa raia.
 
Hayo maneno amesema afande, na Lissu alisikia au kuona.

Na shahidi bora ni yule aliye sikia jambo la kusikika, au aliyeona jambo la kuonekana.
Mahakama haitoi ukumu kwa maelezo ya upande mmoja mkuu, na kibaya zaidi ktk hili, hakuna krip ya mlalamikiwa inayoonesha wakati anasema hayo maneno, je kama Lisu katunga we unajuaje?
 
View attachment 3101869

Source: Godbles Lema, katika ukurasa wa X
Chadema hadi mjambe cheche ....JPM alikuwa anapambana na wanao pambana na nyinyi sasa mkamwona mpumbavu na dictator...sasa nchi imerudi mikononi mwa mafisadi mtajua sasa kwanini jpm alikuwa mkali ..kamwe mafisadi hayawezi kukubali kuondolewa mnofu mdomoni mwao kama walivyo pokonya na jpm...labda kwa damu nyingi sana .
 
Mwenye Ile clip ya Lema soon baada ya kutoka uhamishoni yenye maneno: "....mama kasema rudi maana jamaa keshakufa.." naomba aniwekee hapa,
 
Back
Top Bottom