Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Duh
Siyo fake hii 🐼
Na hawaogopi wanasema live kabisa, wanajua wanalindwa na hao wanaowapa maelekezo kutoka juuWatekaji utawajua tu kwa kauli na matendo yao.
Mama, kwasababu na yeye hatoshi, akiona hivi anafurahi sana.
Kwa vitisho hivyo wanavyotoa, bado Mahakama zinasema hazina ushahidi wa kwamba polisi wanahusika na hayo matukio.Mama, kwasababu na yeye hatoshi, akiona hivi anafurahi sana.
Ni dhahiri huo ujumbe ni wake, na yupo tayari kwa lolote.Tundu Lissu ni Mwisrael aliyeko TANZANIA!
Kama hayo maneno ni yake, tunatarajia kuona mikutano ikiendelea
Kwa vitisho hivyo wanavyotoa, bado Mahakama zinasema hazina ushahidi wa kwamba polisi wanahusika na hayo matukio.
Ukikaidi utapigwa tu....na mimi nasema apigwe tu
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."Better were colonial days
Although it is not necessary for us to come to that tragic point, there is no solution if things continue to worsen."We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."
Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
Hawa viongozi wa Polisi wote ni makada wa CCM
Sahihi kabisaJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
PoliccmHawa viongozi wa Polisi wote ni makada wa CCM
Indeed, at least we knew who our enemies were. Now we are being hurt by the same people that are meant to protect us.Better were colonial days