Ndiyo. Kwanj jpm si aliua sana mlifanya nini. Samia hajafika hata aslimia 10 ya mauaji ya jpm. Na tafiti zinasema ukiua sana ndo unapendwa. Ndiyo mana jpm anapendwa kwa sababu aliua. Understood?Kwahiyo unakubali kwamba Sa100 ndyo anavunja na kuuwa watu?
HujielewiNdiyo. Kwanj jpm si aliua sana mlifanya nini. Samia hajafika hata aslimia 10 ya mauaji ya jpm. Na tafiti zinasema ukiua sana ndo unapendwa. Ndiyo mana jpm anapendwa kwa sababu aliua. Understood?
Sasa hapo Kuna ushaidi wa kumtia mtu hatiani mkuu!?Kwa vitisho hivyo wanavyotoa, bado Mahakama zinasema hazina ushahidi wa kwamba polisi wanahusika na hayo matukio.
Hayo maneno amesema afande, na Lissu alisikia au kuona.Sasa hapo Kuna ushaidi wa kumtia mtu hatiani mkuu!?
Tatizo Chura kiziwi amezidi kuvipa rushwa na ahadi ya vyeo watendaji wa vyombo vya usalama.View attachment 3101869
Source: Godbles Lema, katika ukurasa wa X
Wamesahau jukumu lao la msingi, kulinda usalama wa raia, sasa wamegeuka na kuhatarisha usalama wa raia.Tatizo Chura kiziwi amezidi kuvipa rushwa na ahadi ya vyeo watendaji wa vyombo vya usalama.
Yaani wamejiapiza kuteka, kutesa, kuua na kuteketeza!
Mahakama haitoi ukumu kwa maelezo ya upande mmoja mkuu, na kibaya zaidi ktk hili, hakuna krip ya mlalamikiwa inayoonesha wakati anasema hayo maneno, je kama Lisu katunga we unajuaje?Hayo maneno amesema afande, na Lissu alisikia au kuona.
Na shahidi bora ni yule aliye sikia jambo la kusikika, au aliyeona jambo la kuonekana.
neno ”Kama" ni assumption tu, lakini ushahidi upo na mahakamani hawezi kwenda kwa hilo maana anajua mahakama ni tawi la ccm.je kama Lisu katunga we unajuaje?
Small BrainStone said:TAL ana kiburi sanaa,mjeuri na kaidi. Na atavunjwa kweli halafu aanze kulialia.
Sasa hv hawafi?Dhalim naye aliua sana wala hasingiziwi
Hakika... Wanalinda usalama wa bi chura na machawa wake!Wamesahau jukumu lao la msingi, kulinda usalama wa raia, sasa wamegeuka na kuhatarisha usalama wa raia.
Wanauliwa ila na yeye aliua sana,nakubishia kuwa alikuwa anasingiziwa. Yeye aliua na huyu wa sasa naye anaua sana.Sasa hv hawafi?
🤣🤣🤣🤣mambo mengine yanachekesha
Chadema hadi mjambe cheche ....JPM alikuwa anapambana na wanao pambana na nyinyi sasa mkamwona mpumbavu na dictator...sasa nchi imerudi mikononi mwa mafisadi mtajua sasa kwanini jpm alikuwa mkali ..kamwe mafisadi hayawezi kukubali kuondolewa mnofu mdomoni mwao kama walivyo pokonya na jpm...labda kwa damu nyingi sana .
Unaruka moto unakanyaga moto 😂Wanauliwa ila na yeye aliua sana,nakubishia kuwa alikuwa anasingiziwa. Yeye aliua na huyu wa sasa naye anaua sana.
Bonyeza ya mama yako mzazi.Bonyeza kwenye tundu yako ya haja kubwa.