Yuko sahihi kabisa kwenye haya maelezoKwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….
Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake.
1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage inayofanyika kwenye nchi yao wameamua hivi kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yao.
2. Trump ameitikia wito wa wananchi wa Iran, kuwaokoa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Marekani.
3. Israel imeitikia wito wa Wananchi wa Iran kuokolewa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni na survival ya nchi ya Israel.
4. Mange Kimambi namsapoti Trump kwenye vita hii kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Tanzania.
5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice.
6. Jiulize wewe upande ulioko kwenye hii vita una manufaa gani ya mbeleni ya nchi yako? Ukishapata jibu jiangalie kwenye kioo jiulize je wewe ni Low IQ au high IQ??? Maana kila mtu mwenye high IQ anaangalia hii vita kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yake ila wewe unafata ushabiki maandazi usio na manufaa ya mbeleni ya nchi yako.
Duh,5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice.
Amani na haki hailetwi kwenye kisahani kama karanga,mara nyingi ni kupitia umwagaji damu. Si unawaona CCM wanacho tufanyia?Mtu anayeshabikia vita au mauaji lazima tu atakuwa ana matatizo kichwani.
Vita havikwepeki hata wewe una vita yako vileMtu anayeshabikia vita au mauaji lazima tu atakuwa ana matatizo kichwani.
90% ya Iraniana wanaiunga mkono serikali yao na hawaipendi USA wala Israel. Ndio maana kila leo wana chant "death to America death to Israel".Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….
Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake.
1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage inayofanyika kwenye nchi yao wameamua hivi kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yao.
HUU UONGO AMBAO UMEDHIHIRISHWA NA RAIA WENYEWE WAKIIMBA KIFO KWA AMERIKA.2. Trump ameitikia wito wa wananchi wa Iran, kuwaokoa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Marekani.
Israel na raia wa Iran hawapatani hata kwa upunje. Na vita kati ya Iran na Israel ni geopolitical haihusiani na hiyo sababu.3. Israel imeitikia wito wa Wananchi wa Iran kuokolewa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni na survival ya nchi ya Israel.
-Raia wenyewe wa USA hawaitaki hiyo vita.Maseneta wengi wameikosoa hatua ya USA kuivamia Iran. Ketz ambaye alikua kiungo muhimu katika sekta ya ulinzi amejihuzuru kisa hii vita.4. Mange Kimambi namsapoti Trump kwenye vita hii kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Tanzania.
5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice.
6. Jiulize wewe upande ulioko kwenye hii vita una manufaa gani ya mbeleni ya nchi yako? Ukishapata jibu jiangalie kwenye kioo jiulize je wewe ni Low IQ au high IQ? Maana kila mtu mwenye high IQ anaangalia hii vita kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yake ila wewe unafata ushabiki maandazi usio na manufaa ya mbeleni ya nchi yako.
Mabwege kama ninyi huwa mnanishangaza sana.Pentagon: Operations detroyed whole iranian fleet in Caspian sea!
sounds familiar? islamic republic of iran ikianguka ndiyo mwisho wa islamic republic ya hapa pia ...
Unajielewa unachozungumza!??hao wote uliowataja hawana power yoyote ile tanzagiza, wanatumwa na kutumiwa ...
Granted, the Iranian government is extremely evil, but no one in his or her right mind can believe that Trump and Netanyahu have launched this war to liberate the suffering Iranians.Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time…….