britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Iran wameshapoteza muelekeo, wanaogopa hata mafasi ya U Ayatollah
Huyu mwanamke kachanganyikiwa? Yaani anasema anaunga mkono US sababu inasaidia wananchi wanaopigania demokrasia Iran wakati huo huo kwenye page yake hataki maoni kinzani sasa demokrasia gani anayoongelea hapa?Kwa ambae hayuko na mimi kwenye hili, pita kimya kimya kama unaaga maiti la sivyo ni block, kachezeni huko huko Lumumba kwa ma low IQ wenzenu ila sio kwenye hii page. #Trump