Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Jisomee Mwenyewe
"
NI NANI KATUROGA...?
Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.
Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.
Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.
Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu
Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.
Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.
Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.
Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.
Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani
Pia soma: