1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Chadema inapitia misukosuko mingi na mikali. Natumaini itasimama imara. Tuna imani na lisu. Misukosuko ikifanye chama kuwa imara. Wananchi tuliochoshwa na uongozi wa samia tuko wengi na tutaisapoti chadema.
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm hawataki mpinzani wa kweli bali wanataka wanafiki wanaojifanya ni wapinzani.
Chini ya lisu chadema imekuwa mpinzani wa kweli anaetaka mabadiliko. Ccm hawataki hilo litokee. Lakini hawataweza kuzuia maana wananchi hatuko tayari kuona samia akiendelea kuingia mikataba itakayoligarimu taifa letu la tanganyika.
Juzi amesaini mikataba ya madini na waarabu wenye matani na tani za dhahabu tangu wakati wa Ukoloni kuja kujichotea tena madini ya Tanganyika .
Yaani anamaliza rasilimali za Tanganyika zote kama vile yeye ndio Rais wa mwisho kutokea Tanzania ?
Kama Nyerere katika miaka 24 angeuza mali za Tanganyika kwa kasi ya huyu Mzanibar nadhani hii nchi ingekuwa ni genge la majambazi wa dunia .
Amemweka Doto ili amdhibiti Waziri mkuu halisi . Wauze ardhi yote yenye madini kwa waarabu . Hatujui wao wananufaikaje na baada ya kustaafu watarudi kwao au watabaki Tanganyika waliyoifilisi.?
Bila kuwapumzisha hawa watu wataigawa hii nchi maana mmoja anatumiwa na Kagame na mwingine na Waarabu .
Amkeni watanganyika kama CCM hawaoni basi waonyesheni kwa kuwapumzisha