PreGE2025 Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi nani kamuingiza Mbowe kwenye suala hili? Mimi sijawasikia G55 wakisema kuwa Mbowe yuko nao. Nilichosikia ni wale wanaosema kuwa ni wasaliti ndio kila siku walikuwa wanasema Mbowe yuko nyuma yao. Hao hao ndio waliosema kuwa watahamia Chaumma na Mbowe kaahidiwa kugombea urais kwa tiketi ya Chaumma. Nimemsikia KM akisema kuwa Mbowe amekana kuhusika nao. Mimi ningedhani badala ya kuwalaumu G55 wangewabana waliokuwa wana spread hizo rumours. Boni ana haki ya kujaribu kukinusuru chama chake lakini amekosea kunyoshea vidole upande mmoja. Alitakiwa pia akemee wale wanaowaita viongozi aliohudumu nao na kuhangaika nao kwa miaka mingi kuwa ni wasaliti. Jina ambalo hata lilitumika sana kumchafua Mwenyekiti aliyeshindwa uchaguzi. Anapaswa kuelewa uchungu wanaosikia waliokuwa wenzake wanapoona uongozi unanyamaza wanapotupiwa shutma hizo.

Kwa kufanya alivyofanya ameleta maswali mengi kuliko majibu. K.m. kwa nini Mnyika hakuizungumzia hiyo Kamati ya Wazee? Na ilianzishwa na ilianza kazi lini? Na je ilikaa na G55 kusikiliza hoja zao? Boni angejikalia kimya huku akiendelea kuunga mkono NRNE kwa moyo wake wote.

Hili jambo halikutakiwa kufika hapa. Suala la wanachama wa chama cha siasa kutofautiana kuhusu strategy ni jambo la kawaida. Kujitoa pia sio dhambi. Wangeachiwa tu waende wanakoend bila kurushiana vijembe. Ukweli ni kuwa mgawanyiko katika upinzani unafaidisha CCM. Kuna wakati utafika watahitajiana. Kuchokonea majeraha hakusaidii reconciliation ya aina yeyote. Reconciliation haina maana warudi CDM. Ni kuheshimu tuu uamuzi wao.

Amandla...
 
Kwani ilikuwa lazima awe yeye tu? Sisi tulikuwa team Mboe lakini baada ya kula mweleka tulikubaliana kwamba tuvumilie tu ili chama iendelee kuwapo!
Kulikuwa na sababu gani za kutaka kumfukuza kwenye chama mara baada ya uchaguzi kuisha? Kulikuwa na sababu gani ya kumuengua Catherine Ruge kwa ujumbe wa WhatsApp? Kulikuwa na sababu gani ya kumporomeshea matusi Sigrada baada ya kusema kuwa wanaonewa na wanatengwa? Wanachodai G55 ni kupewa heshima ambayo kila mwanachama anastahili kupewa. Sio suala la wao kuendelea kwenye madaraka. Huo ni uzushi unaolenga kuwachafua. Ni muendelezo wa mbinu zilizotumika dhidi ya Mbowe. Tofauti tu ni kuwa hawa wameamua kujitoa kwenye chama ili wasionekane kama wanaleta kiwingu.

Amandla...
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Jisomee Mwenyewe

"
NI NANI KATUROGA...?

Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.

Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.

Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.

Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu

Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.

Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.

Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.

Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani

Pia soma:
View attachment 3328871
Wengi hatukumuelewa Boni. Anachokisema ni tofauti kabisa na kile nilichodhani mwanzo. Amesema:

"Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.

Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine."

Ni nani wanaofanya hivi? Sidhani kama Mrema, Ruge, Mwalimu na wenzao wamewahi kufanya hivi dhidi ya Mwenyekiti wao aliyeshindwa uchaguzi.

Amandla...
 
Jisomee Mwenyewe

"
NI NANI KATUROGA...?

Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.

Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.

Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.

Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu

Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.

Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.

Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.

Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani

Pia soma:
View attachment 3328871

Kwani mwamba angeshinda Lissu asingefurushwa?

Pre GE2025 - Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Matusi ni sehemu ya maisha ya kila siku ya mwanaCHADEMA. Yeyote mwenye mawazo tofauti lazima atukanwe na kudhalilishwa ipasavyo. Ilikuwa wanaona sahihi kutukana wanaCCM ila kwa sasa wanatukanana wao kwa wao hadi huruma. Haijalishi Mbowe, Mtei au kiongozi mwingine yeyote mstaafu UTATUKANWA tu usipofuata fikra za mwenyekiti.
 
Kulikuwa na sababu gani za kutaka kumfukuza kwenye chama mara baada ya uchaguzi kuisha? Kulikuwa na sababu gani ya kumuengua Catherine Ruge kwa ujumbe wa WhatsApp? Kulikuwa na sababu gani ya kumporomeshea matusi Sigrada baada ya kusema kuwa wanaonewa na wanatengwa? Wanachodai G55 ni kupewa heshima ambayo kila mwanachama anastahili kupewa. Sio suala la wao kuendelea kwenye madaraka. Huo ni uzushi unaolenga kuwachafua. Ni muendelezo wa mbinu zilizotumika dhidi ya Mbowe. Tofauti tu ni kuwa hawa wameamua kujitoa kwenye chama ili wasionekane kama wanaleta kiwingu.

Amandla...

Kwani mwamba hakuwa kapanga kumfukuza Lissu?

Au hizi hazikuwa na baraka zake?

IMG_20250507_085222.jpg

Pre GE2025 - Tundu Lissu afukuzwe CHADEMA haraka
 
Jisomee Mwenyewe

"
NI NANI KATUROGA...?

Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.

Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.

Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.

Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu

Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.

Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.

Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.

Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani

Pia soma:
View attachment 3328871
Ukisoma between line manake anawbia machawa wa Lisu waache kuhangaika na Mbowe Chadema inapoenda kuwafia 😂😂👇👇

View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1921178083593248827?t=bIO7tiljZSGewcGYXVQyFw&s=19
 
Jisomee Mwenyewe

"
NI NANI KATUROGA...?

Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.

Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.

Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.

Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu

Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.

Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.

Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.

Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani

Pia soma:
View attachment 3328871
Salum mwalimu na kikundi chake cha madalali wa Siasa tokea ccm wameanzisha mradi haramu wa kishetani kula pesa za ccm na kuidhoofisha chadema, pesa inayotumika ni nyingi sana ni pesa ingeweza ikatumika kuleta maendeleo lakini sasa inaliwa na G55 kwa njia haramu za kishetani
 
Siku hizi Chadema ni chama cha "wasaliliti."
-Wabunge wanawake kutoka chadema ni wasaliti
-Wanachama wenye maoni tofauti ni wasalilti
-Wanachama wanaokataa kuandamana ni wasaliliti
Ukipishana na mwenyekiti basi elewa wewe ni msaliti, kimekuwa siyo chama cha tafakuri maana akili tofauti ni mbolea ya Chama katika ustawi wake!
 
Salum mwalimu na kikundi chake cha madalali wa Siasa tokea ccm wameanzisha mradi haramu wa kishetani kula pesa za ccm na kuidhoofisha chadema, pesa inayotumika ni nyingi sana ni pesa ingeweza ikatumika kuleta maendeleo lakini sasa inaliwa na G55 kwa njia haramu za kishetani

Chadema inapitia misukosuko mingi na mikali. Natumaini itasimama imara. Tuna imani na lisu. Misukosuko ikifanye chama kuwa imara. Wananchi tuliochoshwa na uongozi wa samia tuko wengi na tutaisapoti chadema.

Ni ukweli usiopingika kuwa ccm hawataki mpinzani wa kweli bali wanataka wanafiki wanaojifanya ni wapinzani.

Chini ya lisu chadema imekuwa mpinzani wa kweli anaetaka mabadiliko. Ccm hawataki hilo litokee. Lakini hawataweza kuzuia maana wananchi hatuko tayari kuona samia akiendelea kuingia mikataba itakayoligarimu taifa letu la tanganyika.
Pesa inayotumika kuudhofisha chadema kuanzia Polisiccm mahakamaccm bungeccm Tumeccm wasiojulikanaccm na uvccm ni pesa nyingi sana na endapo ingekuwa imeelekezwa kwenye maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi Tajiri na huduma muhimu za jamii zingekuwepo kila kona
 
Jisomee Mwenyewe

"
NI NANI KATUROGA...?

Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.

Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.

Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.

Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu

Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.

Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.

Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.

Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani

Pia soma:
View attachment 3328871

Mkuu unakumbuka huu Uzi wako?

Pre GE2025 - Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Mwambie alipanga kumfukuza Lissu baada ya uchaguzi.

Au nasema uongo?

Au hata wapi nani anashughulika na nani? Si tuko busy na no reforms no elections? Au?
 
Hako kajamaa Salum mwalimu ni kajitu kwa hovyoo sana kwanza kamekula Rushwa ya ngono kwa wingi na wale wabunge haramu 19 mpaka kufikia kuzaa na coviid mmoja mtoto ni kijitu chenye ufusika wa kutisha sana, wakati wenzake wakiwakataa covid 19 yeye alikuwa na unafiki mwingi mpaka kupelekea kuanza kuwazalisha wototo kwa zinaa haramu ya kishetani
 
Au siyo? 😂😂😂😂👇👇

View: https://x.com/mwaipungu24/status/1921096238033686963?t=ZbXNnF8DQtnLFHJPd3-2xA&s=19

Mtapoteana vizuri baada ya ACT na Chauma kuwa Vyama Vikuu vya Upinzani

Uzi huu wa 2023 ulikuwa onyo kwa madalali wenye kutuaminisha ni wafanya biashara, kumbe wapiga ruzuku na michango yetu:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Chadema ya Lissu ya Leo ndiyo hii sasa na Kwa hakika ni 🔥🔥.

Kwani bi chura anasema je?
 
Back
Top Bottom