PreGE2025 Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwann picha ya Mbowe ipo hapo au mm ndo sielewi
 
Mtu kama boni anajua kwanini yuko chadema, ni kama sugu.
 
Boni haha kijana mtiifuu wa jumba lilee

Ila siasa ya bongo


Boni, Heche , Amani

Ipo siku mtashangaa kama mlivyoshaangaa kwa

Halima , Kigaila
 
uropokaji na upotoshaji vitaendelea kua useless na nonsense ndani na nje ya jukwaa hili muhim na la heshima zaidi huku chadema iliyopoteza uelekeo kwasababu hiyo nayo ukiendelea kupukutika 🐒
Uondio unawarudisha wasio na ubongo kwenye mhimili sahihi,hata pale mwonapo maji yashingo mnawapeleka kwenye wale wanyama walafi wa madoadoa.
 
Boni haha kijana mtiifuu wa jumba lilee

Ila siasa ya bongo


Boni, Heche , Amani

Ipo siku mtashangaa kama mlivyoshaangaa kwa

Halima , Kigaila
Weee masaaaaweee,wewe ungana na Mremaaa muwahi chapu pale chauma kwa Sipunda, kwanza mpige ubwawa halafu muchungulie na fursaaa nyiingiiinee.
 
Kifupi mtu kama john mrema alikuwa hawezi ishinbila kuwepo ndani ya ofisi za cdm.. pale ofsin ndio ilkuwa kula yake ña kunya yake
Ndiyo tatizo la kutegemea siasa ili kuendesha maisha. CCM watamtumia kwa muda mfupi sana halafu ataachwa bila msaada wowote.
 
Kifupi mtu kama john mrema alikuwa hawezi ishinbila kuwepo ndani ya ofisi za cdm.. pale ofsin ndio ilkuwa kula yake ña kunya yake
Hao ndiyo wale hurudi na "...wimbo wa nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa mimi..."
 
Changamoto ya wanasiasa wengi wapo kwa maslahi binafsi, na ndio maana tunakosa viongozi waadilifu na wawajibikaji sababu ya mambo haya haya ya ubinafsi, wanajijali mnoo, rahisi kununulika.. hata pale CCM wengi wapo kimaslahi, siku ikitoka madarakani utaona mengi.
 
Uko chadema sasa hivi wajinga ni wengi.Wao kutofautiana mawazo wanaona dawa ni kutukana wenzao badala yakujibu hoja.Wengine ata siasa hawazijui na hiyo chadema yenyewe wameidandia tu juu juu.Hawajui kua siasa zinahitaji uvumilivu na mshikamano ili mjenge hoja za pamoja na kutofautiana mawazo sio ugomvi kwasababu wote lengo ni moja.Ila sasa Chama kimetekwa na wajuaji na wasipokua makini itabaki historia.
 
Kumbe mwenyekiti ameunda tume ya wazee ili kuwaunganisha. Hili la Mh Mbowe kuwa bize na biashara zake wala siyo kuhamia CHAUMA, kama ndivyo basi mzee Mbowe tusamehe. Lakini na wewe angalau toka huko ulipo na useme "no reforms no election". Kimya baada ya kushindwa kinafanya uwekwe kapu moja na akina Nyerere wa kigamboni.
 
Jamaa yupo timamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…