1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Chadema inapitia misukosuko mingi na mikali. Natumaini itasimama imara. Tuna imani na lisu. Misukosuko ikifanye chama kuwa imara. Wananchi tuliochoshwa na uongozi wa samia tuko wengi na tutaisapoti chadema.
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm hawataki mpinzani wa kweli bali wanataka wanafiki wanaojifanya ni wapinzani.
Chini ya lisu chadema imekuwa mpinzani wa kweli anaetaka mabadiliko. Ccm hawataki hilo litokee. Lakini hawataweza kuzuia maana wananchi hatuko tayari kuona samia akiendelea kuingia mikataba itakayoligarimu taifa letu la tanganyika.
Kwani ilikuwa lazima awe yeye tu? Sisi tulikuwa team Mboe lakini baada ya kula mweleka tulikubaliana kwamba tuvumilie tu ili chama iendelee kuwapo!Mrema amekasirika sana
Hana ajira na bilionea wa mchongo kagoma kwamwajiriMrema amekasirika sana
Jisomee Mwenyewe
"
NI NANI KATUROGA...?
Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.
Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.
Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.
Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu
Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.
Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.
Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.
Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.
Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani
Pia soma:
View attachment 3328871
Chadema iliyopoteza uelekeo inaweweseka kwa uchungu hadi huruma, dah!
Uropokaji ni kitu mbaya sana aise 🐒
Hawa wanenda kushusha thamani ya msigwa Ccm maana wametoka HQ ya chadema Wana Siri nyingi
Wangemwacha msigwa apate hata udc kwanza jmn 😀😀😀
Si ndio furaha kwenu ? Haha
Vijana wa CCM sijui mnataka nini,
Chadema ikiwa strong uwa mnapambana ife na chadema ikiwa inakufa mnapambana isife
Gentleman,Si ndio furaha kwenu ? Haha
Vijana wa CCM sijui mnataka nini,
Chadema ikiwa strong uwa mnapambana ife na chadema ikiwa inakufa mnapambana isife
Maua Bony 👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸🌸🌸💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌸💐💐💐💐🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸
Badili ID mwana Unguja!!Chadema iliyopoteza uelekeo inaweweseka kwa uchungu hadi huruma, dah!
Uropokaji ni kitu mbaya sana aise 🐒
gentleman,Badili ID mwana Unguja!!
Watu wamekuchoka; badili ID nipo pale utanishukuru
Gentleman,
kama watalamu,
jukumu letu ni kuchambua na kujaribu kuwaomba wadau wa JF kushauri vyama vya siasa njia za kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ndani ya vyama mballimbali vya siasa nchini 🐒
wasibanduke kunifuatilia kwa karibu humu jukwani gentleman 🐒Gentleman
Watu wa cuf, chauma, tadea, wanamiss sana mchango wako wa kimawazo ambao utawasaidia kujikwamua
Samia kafanyaje?Chadema iliyopoteza uelekeo inaweweseka kwa uchungu hadi huruma, dah!
Uropokaji ni kitu mbaya sana aise 🐒
Huyu tangu nilipo muona yupo CHADEMA nilitupa kadi kadi kabisaJisomee Mwenyewe
"
NI NANI KATUROGA...?
Mnahangaikaje na mtu ambaye yupo bize na biashara zake binafsi kwa 99%.
Kumzushia uongo, kumdhihaki, kumtukana na kumdhalilisha ndiyo imekuwa ‘fasheni’ mpya ya baadhi ya watu wakitaka waonekane wajuaji na wenye mapenzi na CHADEMA kuliko wengine.
Huwezi kujifanya unaipenda CHADEMA kama unataka ikose "internal stability". Kwa kutengeneza vistori vya uongo.
Uzushi, kejeli, vijembe na dhihaka kwa viongozi wetu ni mradi mpya wa kutugawa wanachama wa CHADEMA. na tugawanyika kweli tikiendekeza uzushi na majungu
Na wanaofanya kazi ya kutugawa wanaifanya kazi hiyo kwa ufundi ili kuhakikisha CHADEMA hairudi kuwa moja.
Mwenyekiti Tundu Antipas Mughwai Lissu kabla ya Kukamatwa na kutupwa rumande kwa kesi ya mchongo aliona haja ya kutuunganisha wote.
Mwenyekiti Tundu Lissu akaunda kamati ya wazee kurudisha umoja wetu, kazi ambayo ilishaaanza vizuri. Wazee wale wanaendelea kuifanya kazi hiyo.
Nasikitika baadhi yetu wanahujumu jitihada za Mwenyekiti baada ya kuwa gerezani kwa kesi ya uongo ya uhaini.
Haya ninayo yasikia na kuyaona yakitengenezwa kila siku ndani ya chama chetu yanasikitisha na kuogopesha sana." Boniface Jacob, Mwemyekiti wa Kanda ya Pwani
Pia soma:
View attachment 3328871
Ajabu ni kwamba kuna watanganyika wanayajua hayo lakini wanamsifia tu.Juzi amesaini mikataba ya madini na waarabu wenye matani na tani za dhahabu tangu wakati wa Ukoloni kuja kujichotea tena madini ya Tanganyika .
Yaani anamaliza rasilimali za Tanganyika zote kama vile yeye ndio Rais wa mwisho kutokea Tanzania ?
Kama Nyerere katika miaka 24 angeuza mali za Tanganyika kwa kasi ya huyu Mzanibar nadhani hii nchi ingekuwa ni genge la majambazi wa dunia .
Amemweka Doto ili amdhibiti Waziri mkuu halisi . Wauze ardhi yote yenye madini kwa waarabu . Hatujui wao wananufaikaje na baada ya kustaafu watarudi kwao au watabaki Tanganyika waliyoifilisi.?
Bila kuwapumzisha hawa watu wataigawa hii nchi maana mmoja anatumiwa na Kagame na mwingine na Waarabu .
Amkeni watanganyika kama CCM hawaoni basi waonyesheni kwa kuwapumzisha
Huku sisi watekaji na wauaji tukiendelea kuchanua kama maua kondeni. QmmmkoChadema iliyopoteza uelekeo inaweweseka kwa uchungu hadi huruma, dah!
Uropokaji ni kitu mbaya sana aise 🐒
Aongee vizuri na Mbowe, japo amuweke hata kwenye biashara zake.Kifupi mtu kama john mrema alikuwa hawezi ishinbila kuwepo ndani ya ofisi za cdm.. pale ofsin ndio ilkuwa kula yake ña kunya yake