PreGE2025 Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ninakazia:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Hiyo ilikuwa 2023.

Mungu atupe nini baada ya CHADEMA ya leo na Lissu?
 
Wanaotumia Nguvu Kuchafua Watu Ni Kijani Na Wale G55
 
Mkuu kwani kuna anayehangaika na mwamba?

Au Kuna asiyejua kuwa mwamba alipanga kumfukuza Lissu baada ya uchaguzi?

Pre GE2025 - Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Kwani Kuna aliyemfukuza mwamba au hakuna jitihada zilizofanyika kumfikia hata huyu aliki tunayesikia leo katika hati hati kuelekea chaumma, tokea kwenu?

Au nasema uongo?

Tusitolewe kwenye reli. Asiyetaka no reforms no elections si mwenzetu!
 
Nafikiri kuna tofauti kati ya anachoamini na kuandika Erythrocyte na anachomaanisha Boniyai. Na kwa maoni yangu baada ya kusoma alichoandika Boniyai, naamini naye muda si mrefu atakuwa "msaliti"!

Bottom line asiyeamini kwenye no reforms no elections si mwenzetu!
 
Nafikiri kuna tofauti kati ya anachoamini na kuandika Erythrocyte na anachomaanisha Boniyai. Na kwa maoni yangu baada ya kusoma alichoandika Boniyai, naamini naye muda si mrefu atakuwa "msaliti"!
Muda huwa haudanganyi
 
Kwenye hii game ya siasa Chadema unaweza kuwaita ni malaya wa kisiasa, because they are straight transactional...

Huwezi kuwapa Imani na kumwamini yeyote miongoni mwao,sembuse wakashika Dola we unadhani itakuaje.
 
Mbowe amekua madhaifu sana sijui kwanini chama kilimwamini, yani mtu katoka kwemye uongozi na kususia kila jambo hamuoni kuwa ana uchu na madaraka sana kuliko ustawi wa chama na wanachama wake
 
Utasapoti Chama ambacho hakijasimamisha wagombea?
 
Mtajitekenya sana. Ila bottom line:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Na ndiyo iliyopo sasa!

Mungu katusikia.
Hakuna fala anaweza kuwapa Imani chadema wewe, wenyewe wamegawanyika kwa maslahi yao kisha wanasingizia kuwa eti wanagawanywa... unaweza vipi kuwapa Imani waongoze nchi?
Kuongoza Dola unadhani ni kitu cha masihara,TENA nchi KUBWA kama hii Tz.
 
Kwenye hii game ya siasa Chadema unaweza kuwaita ni malaya wa kisiasa, because they are straight transactional...

Huwezi kuwapa Imani na kumwamini yeyote miongoni mwao,sembuse wakashika Dola we unadhani itakuaje.
Chadema ni chama cha kilaghai...
 
Utasapoti Chama ambacho hakijasimamisha wagombea?
No reform no election. Kama watafanya mabadiliko chadema itasimamisha mgombea. Wasipofanya mabadiliko hata hao waliosimamisha wagombea hawatafanya uchaguzi sasa kuna haja gani ya kukimbilia kusimamisha mgombea wakati hujafanya mabadiliko?
 
Mabadiliko hufanywa kwenye meza ya mazungumzo sio kwa vitisho na vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…