Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

GXCPpXhWEAAhZkf.jpeg
 
Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.

Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.

Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi?

View: https://x.com/netanyahu/status/1842631521070669937?t=haRCH8srVRASu35KYUur7A&s=19

Hii naona Sasa akili Zinamjia Netanyau, kama kweli Western countries wameanza kampeni asipewe silaha, maana yake wamemchoka.

Na nchi za West zinalumiwa na raia wao jamaa anaua Raia badala ya kupigana na anaowaita magaidi.

Juzi tumeona magaidi hawajaua raia hata mmoja badala yake wamepiga military bases, wameharibu miundombinu ya kijeshi. Netanyau anapiga maeneo ya raia na kuua wanawake na watoto, hapo gaidi ni yupi? Kwa nini wasimnyime silaha?

Suala La palestina ameambiwa two state solution hataki anataka makombora auwe wapalestina, kwa nini wasimnyime silaha?
 
Kachanganyikiwa huyu tayari anagombana na kila mtu, mara katibu mkuu wa united nations sasa hivi macron, huyu ni chizi ,hata waziri wake wa vita alijiuzulu baada ya kugundua jamaa ni kichaa na muongo
Na waziri wa ulinzi sasahivi hapatani nae kwa kuwa wote wamemshtukia huyu ni kichaa anatakiwa adhibitiwe
 
Mtu anapewa silaha halafu anakoromea watoaji ..ashukuru hapo walilpomfikisha ..hamna mtu atakayemsikiliza maana busara kwake ni mtihana
 
Kachanganyikiwa huyu tayari anagombana na kila mtu, mara katibu mkuu wa united nations sasa hivi macron, huyu ni chizi ,hata waziri wake wa vita alijiuzulu baada ya kugundua jamaa ni kichaa na muongo
Na waziri wa ulinzi sasahivi hapatani nae kwa kuwa wote wamemshtukia huyu ni kichaa anatakiwa adhibitiwe
Ndo mnadanganyana masjid hivyo waislamu ni wapuuz
 
Kachanganyikiwa huyu tayari anagombana na kila mtu, mara katibu mkuu wa united nations sasa hivi macron, huyu ni chizi ,hata waziri wake wa vita alijiuzulu baada ya kugundua jamaa ni kichaa na muongo
Na waziri wa ulinzi sasahivi hapatani nae kwa kuwa wote wamemshtukia huyu ni kichaa anatakiwa adhibitiwe
Pole, huyu sio SS!
 
UN, NATO, Russia na China, Arabs wameshindwa kummaliza mgogoro ambao chanzo cha tatizo kinajulikana. Washinikize mateka waachiwe halafu Israel usimamishe vita mara moja, Ayatollah ametangaza lazima Israel iangamizwe, kwa mazingira hayo Israel italazimika kujilinda na kuna kupigana vita vikali sana, tunakoelekea maeneo ambayo Israel itachukua Gaza na Lebanoni hayatarudi tena.Al aqisa na yenyewe inaweza kubomolewa na myahudi
 
Siyo rahisi kihivyo kama unavyodhania, hata mateka wakiachiwa vita haitaisha, vita itaisha pale netanyahu atakapokosa support ya nchi za magharibi au kutolewa madarakani kwa namna yoyote ile
Akitoka sasa hivi possibly itakuwa mwisho wa safari yake ya kisiasa na ana case nyingi zinamsubiri, the only way akaendelea kuwa salama kisiasa ni through hizi vita
Ingawa kule kwa hezbollah ili apigane itabidu marekani aje in full, israel kama israel ataaibika
Na defence system yake aliyokuwa anatamba nayo imeonyesha udhaifu mkubwa na iran ameweza kupiga target zake successfully hii ni hatari sana kwa israel, itabidi afikirie mara mbili kuendelea na huu ugomvi na iran, ndio maana umeona katulia kwa sasa, ile message aliyotuma iran ina maana kubwa sana kwa mwenye akili
 
Back
Top Bottom