Siyo rahisi kihivyo kama unavyodhania, hata mateka wakiachiwa vita haitaisha, vita itaisha pale netanyahu atakapokosa support ya nchi za magharibi au kutolewa madarakani kwa namna yoyote ile
Akitoka sasa hivi possibly itakuwa mwisho wa safari yake ya kisiasa na ana case nyingi zinamsubiri, the only way akaendelea kuwa salama kisiasa ni through hizi vita
Ingawa kule kwa hezbollah ili apigane itabidu marekani aje in full, israel kama israel ataaibika
Na defence system yake aliyokuwa anatamba nayo imeonyesha udhaifu mkubwa na iran ameweza kupiga target zake successfully hii ni hatari sana kwa israel, itabidi afikirie mara mbili kuendelea na huu ugomvi na iran, ndio maana umeona katulia kwa sasa, ile message aliyotuma iran ina maana kubwa sana kwa mwenye akili