Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

Hiyo France na German ondoa. Hao ni washirika lakini siyo wanaompatia silaha
Germany na France wanatoa silaha kama anavyotoa Israel.
Na tukio la May la Iran kushambulia Israel France ilitoa fighter jets kudungua makombora ya Iran.
 
Fuatilia mabno uelewe, usiandike alimradi unajua kuandika!!

Hezbolah na hamas wanajificha na kushambilia kutokea katikati ya maeneo ya kirai. Hawa magaidi wanawatumia raia kama ngao. Ukitaka kuwapiga utawapigaje bila ya kupiga maeneo ya kiraia?

Haya makundi ya kigaidi yameweka miundombinu yao ya kijeshi kwenye mashule, hospitali na kwenye makazi ya watu. Wakipigwa wanaenda kujificha hospitalini na, mashuleni na misikitini. Huo uwendawazimu, waisrael hawaufanyi., ndiyo maana haya makundi ya kigaidi, yakiishambulia miundombinu ya kijeshi ya Israel, huwezi kusikia vifo vya raia.
Umemezeshwa propaganda za kitoto xnaa..
 
Hivi mnajua vita wanayopigana ilivyo ngumu? Magaid hawa hawana uwanja maalumu wa vita hata nyumba za raia unakuta maroket sasa wewe kama ni netanyau utafanyaje? Yaan unishambulie alafu ujifiche nyuma ya mtoto nikuache uendelee haiwezekani na ngoma hii haiishi leo
Acha kuropoka kama umetiwa usembe wewe.
Madai unayodai yote mabwana wakubwa wameyakagua na kugundua uongo.
Kujificha nyuma ya raia uongo,kuhifadhi silaha katika makazi ni uongo,kujichanganya na raia ni uongo.
Usitufanye sisi hatuna akili.
Juzi wamekutana na Hizbollah mpakani hao Israel wametwangwa kama vichaa tena porini sio uraiani.
Walivyo dunderhead wamemaliza hasira kwa raia wa Beirut.
Akati hizbollah wamewaacha mpakani.
 
Hivi, bandugu. Mbona hakuna anayeona kosa la Hamas kuivamia Israel 7.10.2023 ? Kama Hamas ameua raia maelfu na anaungwa mkono na ushabiki wa kidini, wao wakifa si waliyataka wenyewe ? Tena wafuasi wao humu wakatamba kabisa kuwa Israel havuki mpaka kuivamia Palestine. Na wakasema hajui vita ya ardhini bali madege tu. Acha wauane. Ila muarabu ni mkatili, mbaguzi, mdini.
Ugomvi umeanza August 23 2023 kwa Israel kuvamia Khani Younis na kuharibu mashamba.
Mind you kila mwaka Israel hufanya vurugu za kuharibu mashamba ya Palestina na kukanyaga wakulima kwa vifaru.
Usijidanganye kuwa chanzo ni Oktoba 7.
Hujui mengi wewe kaa kimya.
 
Inawezekana sijui mengi,, ila kosa lisemwe. Israel anapovamia analaaniwa na Hamas anapovamia naye alaaniwe.
 
Hii naona Sasa akili Zinamjia Netanyau, kama kweli Western countries wameanza kampeni asipewe silaha, maana yake wamemchoka.

Na nchi za West zinalumiwa na raia wao jamaa anaua Raia badala ya kupigana na anaowaita magaidi.

Juzi tumeona magaidi hawajaua raia hata mmoja badala yake wamepiga military bases, wameharibu miundombinu ya kijeshi. Netanyau anapiga maeneo ya raia na kuua wanawake na watoto, hapo gaidi ni yupi? Kwa nini wasimnyime silaha?

Suala La palestina ameambiwa two state solution hataki anataka makombora auwe wapalestina, kwa nini wasimnyime silaha?
'Two state solution' nifafanulie tafadhali.
 
Kuinyima Silaha Israel, wakati Iran inajaza Arsenals za Hezbollah,Hamas ni sawa na kutaka Israel iwe destroyed.
 
'Two state solution' nifafanulie tafadhali.
Kumaliza mgogoro wa Israel kunapaswa Kuna taifa kamili la Palestina na taifa la Israel lenye mipaka kamili. Itaondoa vita baina yao. Tofauti na ilivyo Sasa Israel ni taifa huru ambalo Kila mara linasogeza mipaka yake na wapalestina sio taifa huru Bali wanaoitwa walowezi ndani ya eneo taule la Israel
 
Hii naona Sasa akili Zinamjia Netanyau, kama kweli Western countries wameanza kampeni asipewe silaha, maana yake wamemchoka.

Na nchi za West zinalumiwa na raia wao jamaa anaua Raia badala ya kupigana na anaowaita magaidi.

Juzi tumeona magaidi hawajaua raia hata mmoja badala yake wamepiga military bases, wameharibu miundombinu ya kijeshi. Netanyau anapiga maeneo ya raia na kuua wanawake na watoto, hapo gaidi ni yupi? Kwa nini wasimnyime silaha?

Suala La palestina ameambiwa two state solution hataki anataka makombora auwe wapalestina, kwa nini wasimnyime silaha?
Mnawaamini Wamagharibi?
 
Mkuu,

Hujui Sheria za kimataifa. Zinakatakaza katu katu kuua raia au hata Kiongozi wa nchi. Ukifanya hivyo ni ugaidi na ni mauaji ya halaiki/kimbari kulingana na idadi utakayoua.

Ndio maana nasema kama ni Ugaidi Israel ni no.1
Sheria huwa zinavunjwa tu.Piga adui anapoumia.
 
Siyo rahisi kihivyo kama unavyodhania, hata mateka wakiachiwa vita haitaisha, vita itaisha pale netanyahu atakapokosa support ya nchi za magharibi au kutolewa madarakani kwa namna yoyote ile
Akitoka sasa hivi possibly itakuwa mwisho wa safari yake ya kisiasa na ana case nyingi zinamsubiri, the only way akaendelea kuwa salama kisiasa ni through hizi vita
Ingawa kule kwa hezbollah ili apigane itabidu marekani aje in full, israel kama israel ataaibika
Na defence system yake aliyokuwa anatamba nayo imeonyesha udhaifu mkubwa na iran ameweza kupiga target zake successfully hii ni hatari sana kwa israel, itabidi afikirie mara mbili kuendelea na huu ugomvi na iran, ndio maana umeona katulia kwa sasa, ile message aliyotuma iran ina maana kubwa sana kwa mwenye akili
Kashau wafaransa ndio walimsaidia akapata silaha za nuclear.
 
Back
Top Bottom