Wewe hakuna Siku utalaani matendo ya hamas hizibolah Wala huoth kwa Israel. We unafikili aasingerusha Yale maboomu Ile tarehe 7. Hii vita ingekuwepo mpaka Leo?. Acheni unafiki wa kiarabu
Hamas haikubaka raia.
Pia usisahau alianza Israel kwa kuharibu mashamba ya Palestina na kuvunja nyumba zao.
NDio maana mataifa mengi sasa hivi yanamkataa Israel.
ULiwahi kujiuliza kwanini wajumbe UNGA waliinuka na kumsusia kikao Netanyahu??
JE umewahi jiuliza kwanini France inaitisha Israel awekewe katazo la kupewa silaha!?
Wewe ni mtu mzima tumia akili sio makamasi.