We jamaa HUKUWAHI KUONGEA POINT.HUWA UNAHARISHA MASHUDU TU HUMU NDANI.
Nikupe mfano mmoja mdogo sana.
jana Israel imetandikwa mpakani na Lebanon na Hizbollah,nikategemea Israel itatuma ndege zilipue mpakani na Lebanon wao wametuma ndege zilipue Beirut.
Kwanini waache kushambulia mipakani ambako hizbollah wapo waende kushambulia raia!?
Hii inajulisha Israel akizidiwa vita hushambulia raia ili kumtia hofu adui.
Gaza,Israel walitoa evacuation order raia waende rafah border,na mahandaki ya Hamas yanaishia Central Israel,wakawaacha Hamas North and Central Israel wakaenda kulipua ambako wanasema ndio salama raia wahamie.
Walilipua makazi ya French official wakamuua humo ndani,walipiga risasi sniper wanawake wanne kanisani,walilipua gari la wamarekani wanne walioenda kutoa msaada wa chakula Gaza.
Je humo kulikua na magaidi kama unavyodai!?
Swali langu kuu ni moja tu,HIZBOLLAH JANA KAMA SIO JUZI WAMEPIGA KWA MIGUU KIRYAT SHMONA,JANA HIYO HIYO ISRAEL IKAENDA KULIPUA BEIRUT,JE WEWE UNAONA MATUMIZI MAZURI YA AKILI!??
Kama hamjui jambo tulieni,achaga kubwabwaja.