Hii naona Sasa akili Zinamjia Netanyau, kama kweli Western countries wameanza kampeni asipewe silaha, maana yake wamemchoka.Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi?
View: https://x.com/netanyahu/status/1842631521070669937?t=haRCH8srVRASu35KYUur7A&s=19
nchi zote za magharibi zinamsaidia ila france,germany, uk na usa ndio wenye msaada mkubwaKwani U.S na UK ndo wanamsaidia Israel huyu macroni katokea wapi?
Mtu anapewa silaha halafu anakoromea watoaji ..ashukuru hapo walilpomfikisha ..hamna mtu atakayemsikiliza maana busara kwake ni mtihanaHii naona Sasa akili Zinamjia Netanyau, kama kweli Western countries wameanza kampeni asipewe silaha, maana yake wamemchoka.
Na nchi za West zinalumiwa na raia wao jamaa anaua Raia badala ya kupigana na anaowaita magaidi.
Juzi tumeona magaidi hawajaua raia hata mmoja badala yake wamepiga military bases, wameharibu miundombinu ya kijeshi. Netanyau anapiga maeneo ya raia na kuua wanawake na watoto, hapo gaidi ni yupi? Kwa nini wasimnyime silaha?
Suala La palestina ameambiwa two state solution hataki anataka makombora auwe wapalestina, kwa nini wasimnyime silaha?
Kwa hali hii ya sasa kila mtu lazima aline akiba yake maana soon vita ya tstu inaweza kuzuka ukajikuta kwenye ghala amna kitu Netanyahu ameshaazikombanchi zote za magharibi zinamsaidia ila france,germany, uk na usa ndio wenye msaada mkubwa
Ndo mnadanganyana masjid hivyo waislamu ni wapuuzKachanganyikiwa huyu tayari anagombana na kila mtu, mara katibu mkuu wa united nations sasa hivi macron, huyu ni chizi ,hata waziri wake wa vita alijiuzulu baada ya kugundua jamaa ni kichaa na muongo
Na waziri wa ulinzi sasahivi hapatani nae kwa kuwa wote wamemshtukia huyu ni kichaa anatakiwa adhibitiwe
Pole, huyu sio SS!Kachanganyikiwa huyu tayari anagombana na kila mtu, mara katibu mkuu wa united nations sasa hivi macron, huyu ni chizi ,hata waziri wake wa vita alijiuzulu baada ya kugundua jamaa ni kichaa na muongo
Na waziri wa ulinzi sasahivi hapatani nae kwa kuwa wote wamemshtukia huyu ni kichaa anatakiwa adhibitiwe
Anazuga tu.Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa.
Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita.
Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi?
View: https://x.com/netanyahu/status/1842631521070669937?t=haRCH8srVRASu35KYUur7A&s=19
Kwahiyo wakiweka vikwazo maana yake apigwe na maadui zakeMtu anapewa silaha halafu anakoromea watoaji ..ashukuru hapo walilpomfikisha ..hamna mtu atakayemsikiliza maana busara kwake ni mtihana
Wazee wa taifa teule hamuwezi kuelewa wala kutumia akili kwenye mambo kama haya mpo kama mazombi tuNdo mnadanganyana masjid hivyo waislamu ni wapuuz
Siyo rahisi kihivyo kama unavyodhania, hata mateka wakiachiwa vita haitaisha, vita itaisha pale netanyahu atakapokosa support ya nchi za magharibi au kutolewa madarakani kwa namna yoyote ileUN, NATO, Russia na China, Arabs wameshindwa kummaliza mgogoro ambao chanzo cha tatizo kinajulikana. Washinikize mateka waachiwe halafu Israel usimamishe vita mara moja, Ayatollah ametangaza lazima Israel iangamizwe, kwa mazingira hayo Israel italazimika kujilinda na kuna kupigana vita vikali sana, tunakoelekea maeneo ambayo Israel itachukua Gaza na Lebanoni hayatarudi tena.Al aqisa na yenyewe inaweza kubomolewa na myahudi