Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

Israel kaweka mahandaki Kwa ajili ya raia ila hao magaid wanachochea vita hlf wao ndo wanajificha kwenye mahandaki kisha raia wananakia juu kukutana na makombora
 
We jamaa ni mlevi ama fala!?
Kwahiyo wewe na Macron nani ana akili na ana ufahamu juu ya Israel!?
Kwahiyo Macron aliposema Israel wapewe katazo la kupewa silaha yeye ni fala!?
Umewahi kufika Tel Aviv hata siku moja!?
Yani unambishia Macron ambaye amefika Tel Aviv mara kedekede kuhusu Israel kuomba silaha!?
Wewe punguani ama majinuni ama pang'ang'a!?
Hujielewi wewe.
 
Kwa hiyo waliobakwa na kuuwawa na magaidi Hamas ni wanyama wale?
Ushetani umekujaa kwenye roho yako mwana wa Ibilisi mtupu. Ungezaliwa M.E ungekuwa full gaidi wewe na zamani ungekuwa ushawahishwa kuzimu kunywa mito ya pombe.
Israel ilipoenda ICJ waliambiwa walete ushahidi wakafeli.
Unaweza ukaleta ushahidi wa unachosema ilhali Israel wameshindwa??
 
Israel kaweka mahandaki Kwa ajili ya raia ila hao magaid wanachochea vita hlf wao ndo wanajificha kwenye mahandaki kisha raia wananakia juu kukutana na makombora
Mkuu raia Wala hapaswi kuingia kwenye handaki maana yeye sio sehemu ya vita Wala sio chombo Cha vita.

Vita hupiganwa kati ya jeshi na jeshi raia hapaswi kuguswa ndio Sheria za kimataifa zitakavyo. Mahandaki mengi yalijengwa jujikinga na radio active kukiwa na boom nyuklia au lenye gas ya simu. Maana simu husambaa Kila mahali na huua Kila anayekutana nayo hivyo kuwakinga raia yalijengwa mahandaki sio Israel TU Bali nchi nyingi hasa zenye umiliki wa nyuklia.
 
Israel ilipoenda ICJ waliambiwa walete ushahidi wakafeli.
Unaweza ukaleta ushahidi wa unachosema ilhali Israel wameshindwa??
Hayo ni maneno yenu ya kila siku team kobaaz migaidi imeua mpaka watanzania wasio na hatia
 
Huyo anagombana hadi na viatu vyake sio mtu mzuri kabisa

 
Kelele we kima shoga,wakazi wa mbagala huwa mna shida sana ,kila kitu mnaleta ubishi wa simba na yanga πŸ’πŸ’©
 
Haya france kashinda

View: https://x.com/RadioGenoa/status/1842929306995175654?t=bAFWcQCtun2nUiZ8gD1Swg&s=19
 
Kwahiyo wakiweka vikwazo maana yake apigwe na maadui zake
Ujue hata Nelson Mandela aliitwa gaidi na makaburu na waisrael ndo walikua wasambazaji silaha ndo mpk leo South africa na muisraeli haziendi sijui wewe mgalatia kama unalijua hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…