Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usilie jamani mtoto mzuriYaani mie Hapa tu. Mpaka nalia Huku.
Subiria kadi zako sasaAnajijua yeye hatokuwepo. Na alivosema mbili kushabikia sasa mie nafanyaje jamani.
kanishika kweli ujueShunie,niachie kwanza ivuga wangu
Uaimkatishe mwenzako moyo si bora hivyo kuliko single Masha?Una moyoo shogaa
Hamna bora hapoo bwanaaUaimkatishe mwenzako moyo si bora hivyo kuliko single Masha?
Wow! Nice message.Daah hata sijui niandike vipi kukuelezea naandika nafuta katika maisha kuna mazingira unaweza kukutana na mtu unajiuliza alikua wapi siku zote.
Naishkuru JF kwa kunipa rafiki aliye mwema kwangu nakupenda sakayo wangu Mungu azidi kukuweka una roho ya pekee pale ninapokusumbua wala hujal kabisa nikivurugwa na stress zangu lazima nikukimbilie kama nalia tunalia wote kama nikicheka tunacheka wote.
Mungu azidi kukutunza nije kucheza kwaito yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sakayo wa Transcend, shunie anakupenda munooooo [emoji8]
Kakutania bwana.Unajua wewe sometimes Una undugu na Israel??
Sasa mie double 2 za nini jamani.
relato umekuwa mkorofi ghafla toka uende huko porini Kama wamekurudisha rasmi vile
Kwenye kitovu, au niweke picha?nimekushika wapi mimi
Jaza ujazwe.Daah hata sijui niandike vipi kukuelezea naandika nafuta katika maisha kuna mazingira unaweza kukutana na mtu unajiuliza alikua wapi siku zote.
Naishkuru JF kwa kunipa rafiki aliye mwema kwangu nakupenda sakayo wangu Mungu azidi kukuweka una roho ya pekee pale ninapokusumbua wala hujal kabisa nikivurugwa na stress zangu lazima nikukimbilie kama nalia tunalia wote kama nikicheka tunacheka wote.
Mungu azidi kukutunza nije kucheza kwaito yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sakayo wa Transcend, shunie anakupenda munooooo [emoji8]
Woooooowwww
Sijui nisemeje mamy wangu, mdogo wangu wa dar, rafiki na mtoto wangu wa kwanza...... Najikuta tu machozi yanitoka mieee!!!!
Shunie wangu, Kivuruge wa Lee na shem ake T.... Nakupenda mpaka najionea wivu, sijajuta kukufamu wewe jamani. Rafiki yako ni rafiki yangu and I swear adui yako ni adui yangu namba moja....
Mungu akutunze mdogo wangu, najua kwaito utaicheza mpaka ulale ila tutaanza kwa Daby...
Shunie nakupenda saaana mpaka nashindwa kuelezea!!!!! Mungu mtunze pacha wanguu!!!!
Niko poa Shuni, tatizo nimekuwa mpweke kama Uncle Tom wa Ubongo Kids.Thanks Fakalava upo poa lakini
UmeonaeeJaza ujazwe.
Nenda jukwa la matangazo*kwa wale wenye maduka ya vifaa vya simu na computer*
Tunauza vifaa aina zote duniani kwa bei ya jumla,
Mfano;
vga
Hdmi
Mouse
Keybord
Sound card
Usb cable aina zote
Game controller
Speakers
Monitor
Memory card
Flash disk
Adapter za laptop OG
Adapter za volt12/9 kwa ajili ya ving'amuz
AU KAMA UNA CHOCHOTE UNACHOHITAJI NJOO INBOX UTAJIPATIA KWA BEI RAHISI.
NimeonaUmeonaee