Huyu sheikh ndiye shujaa wangu wa Amani. Hana muda wa kuhubiri chuki za kidini wala visasi. Yeye mawaidha yake yameegemea kwenye raha za peponi. Mungu mpe maisha marefu sheikh huyu mfano wa kuigwa. Hatari sana. ========== Moja ya mahubiri yake ni hii..."Peponi kuzuri tu...Peponi kuzuri...