Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Hata waziri wako wa mambo ya nje anajua.. infact rais wako anajua.
Mtu yoyote aliesoma international relation au mwenye interest na international relation anajua.
Ni vitu viko wazi.. sio kwamba vimefichwa.
Kama unajua unadanganya why una keep kudanganya?
Unadhan wote waliopo hapa ni watu wa kupokea tu bila kufikiria?
Unadhani ni wazee ndio ?
Humu ndani kuna wasomi wa kada mbali mbali so kuwa makin next time unaandika comment. Si wote ni watoto .
Halaf uongo haulipi bro.
 
si nimeshakupa ushindi.
nimekupa ushindi ili yaishe mimi sioni sawa kulumbana na mtu kama wewe ambae nishakuwa na wasiwasi na wewe kwenye ushoga.
umenishinda bwanamkubwa nimekubali yaishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…