Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Hao wamarekani sio miungu!
Kuna watu wakisikia neno Marekani basi akili zinapagawa kabisa. Hata huko America wanatunia Oxygen ya bure kama ilivyo kwa wananchi wa Horiri na Buza kwa Mpalanje.
Ila wakikohoa Magu na jeuri yake yote anaufyata mkia
 
hao watalii wanatoka wapi kama wazungu wenyewe wanatilia msahaka usalama wao wakiwa Tz?

Hawa Wamarekani mkiwa mnawaomba misaada muwe mnaongea lugha hii-hii mnayonena hapa.
Watalii Duniani ni wamarekani tu? Watakuja wanaojiamini wasiojiamini wasubiri ishara ya yaliyotairiwa.
 
😂😅
Kuna Binadamu huwa mnatapatapa..
Mlianza kwenye tanzia Sasa mmekuja na huku na kote mtachapwa mboko!!..

Si lazima tuishi kwa maneno ya wamarekani ndugu.
Hivi tangu anga letu liliipo funguliwa zishatua ndege ngapi za watalii?au zile ndege tulizoambiwa zimejaa hadi August bado zinapakia?
 
Bado pia umekosea. Chama kikuu makao yake yako london ..uingereza.
Kinaitwa gay right working party. Ndio community kubwa duniani ya mashoga.
mkuu embu fatilia basi acha ubishi chama kiliamishwa tangia 2001kuja US.

basi hata kama ikiwa ni london lkn africa tunaweza kukataa kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa mabeberu.mfano mzuri wa kuigwa ni rais magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magufuli alishakataa kujikomba komba kwa mabeberu.
sema some time wao wenyewe wanaleta pesa zao kwa kuwa wanajua umuhimu wa tanzania kwa east africa.tanzania ni msaada mkubwa kwa nchi nyingi za jirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa na jeuri Kama unavyodhani angeacha kuwaangukia IMF na WB baada ya kudanganya kuhusu madeni yetu.Magu haendi ulaya na America si kwa kuwa hataki kujikomba but uwezo wake mdogo ndo kikwazo kikubwa.Nae ni binadamu sometimes anaona aibu
 
Tatizo Ufipa, Marekani munaibudu kama mungu.
Jana walivyotuma bilioni 2 wote mliungana kushangilia na leo mnaungana kunanga. Watu wa kushoto, kulia, nyuma geuka, mbele tembeaa
Lakini sisi Wafia inchi tunaiona Marekani kama inchi ya kawaida tu, tofauti ni bara na maendeleo waliyo nayo.
Ila kwenye maendeleo hata sisi upo uwezekano (tukijidhatiti) wa kuyafikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namuunga mkono magufuli.mimi napinga kunyenyekea misaada ya mashoga labda wewe mwenye kuitetea mashoga uwenda ni mwanachama wa mashoga.
je wewe ni shoga wa ulie olewa ama bado ujapata mume ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa unajifanya mtu kumbe hamna lolote. Unapinga ushoga lakini hupingi wauwaji na watekaji??
 
Angekuwa na jeuri Kama unavyodhani angeacha kuwaangukia IMF na WB baada ya kudanganya kuhusu madeni yetu.Magu haendi ulaya na America si kwa kuwa hataki kujikomba but uwezo wake mdogo ndo kikwazo kikubwa.Nae ni binadamu sometimes anaona aibu
wakati akiwa waziri utawala wa mkapa na kikwete alishaenda ulaya zaidi ya mara 47 akitumwa na hao marais.so tafuta kisingizio kingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom