Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
huyu jamaa si ni mgogo ,lakini? ??
Bora makonda aanze kuwafunga wanaolala hotelin na guest kama umeuza na hlo banda lako bac umekua yahaya rasimi- hapana ni nyuma ya vigae sio ya mabati, halafu siitaki tena ndio maana nataka kuiuza maana siwezi kwenda kuishi huko, nataka one day nihamie Mbweni so wala sio ishu sana, na mnunuzi nimeshapata so usijali sana
le Mutuz
Inasemekana huyu mtu kasomea saikolojia ya bianadamu ila kwa sie tulio na uelewa wa binadamu na elimu dunia tunaona yeye ndiye mwenye matatizo ya kisaokolojia. Kwa nini serikali isimkamate wampeleke kwa nduguze Dom, anaitia haibu sana familia yake.
mkuu iv unafikir kupata mtto ni masihara had huyo jamaa awe nao
Le mbebez[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
- Hoja yako ya msingi ni mimi unaniona live nakula batazzz, mama yangu alikuwa na maisha yake na mimi nina yangu kinachokuuma ni maisha yangu hayo nazidi kukupa picha za maiosha yangu, mama yangu hahusiki ni marehemu muwache cheza na mimi, ukitaka ajira karibu sana ila mimi huniwezi sio size yako hahahahahaha ona batazzz hizo kwenye picha tena mubasharazzz
le Mutuz
Le mbebez[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yani nimekupenda bure le mbebez naona wote wamesepa enjoy mwaya life is too short [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]- hahahahahaha Miss Kitongoji love U mingizz umeona hawaniwezi hawa mburulazzzzz hahahahahah ngoja nitoke ofisini now niwahi Batamnnnn
le Mutuz
Kwa hali ilivyo sasa unapata wapi muda wa kufuatilia maisha ya mtu?, komaa utengeneze hela zako na wewe ukale bata/kuishi hotelini, huku kufuatilia maisha ya mtu sio kabisa, nani wewe anafuatilia maisha yako buana?Kwako Lemutuz
Unajiita sijui mzee wa mbebez, sijui le mbebez haya majina kiukweli hayaendani na wewe. Umri ulokua nao sio umri wa kuchanua na kula bata na vitoto vidogo ni umri wa kukaa nyumbani na kulea wajukuu
Kwa umri wako woteee kweli hivi unaishi maisha ya kulala hotelini?
Ni aibu gani hii jamani? Kwanini usiuze gari ujenge hata kajumba kaa room moja?
Huoni umri umekata ringi? Ni ushauri tu huo ndugu yangu lemutuz. Hizo sio zama zako za kukaa instagram kushindana na watoto kama kina mange la! huko ni kujitafutia matatizo bure
Hizi ni zama zako za kukaa na family yako kulea wajukuu.na watoto,,,,,over, hakuna kingine. Hivi lemutuz huna marafiki?Kama unao kwanini hawakushauri vizuri?
Kwanini unaiaibisha family yenu?
Hizo pesa za bata zikisha na kununua petrol ya gari utakua mgeni wa nani?
Kwanini hvi lakini? Jifunze kubadilika mange c type yako vitoto vya insta sio saizi yako ulipaswa ukae chini ulee familia na wajukuu maisha unayoishi sio level yako unayoyafanya sasa hivi ulipaswa kufanya ujanani sio sasa hivi
NI USHAURI TU
OVER,,,,,,,,,,,,,,
Amalizie kwa wallet ipi labda 2018 akilipwa mafao yke ya uzeenihyo nyumba ulipewa na wakwe zako kiwanja kwenye sendoff ya mkeo.mkeo kajenga kafikisha hapo malizia basi le mutuz wajukuu utaweka wapi?
True Kuna rafiki yangu nikamuuliza akasema huyo bwana ndo alimuomba apige nae pichaNgoja awasikie
Naona mnaligi ila huyo bwana anastress unaanzaje mtongoza mwanaume mwenzako halafu unalilia. Tukamreport aende jela miaka 30Kuna ambayo naiona,sio Ka kibamia kako. Angalia kwenye zile chats zako utaona,ulisema una 4.5 au umesahau nikuletee zile convo zilizoletwa??
Kila nakushauri,acha ushoga kaka,sio tabia nzuri.
Umeonekana oysterbay usiku huu, utakamatwa kwa kosa la uzurulaji mkuu, tulia nyumbani- hahahahahaha Miss Kitongoji love U mingizz umeona hawaniwezi hawa mburulazzzzz hahahahahah ngoja nitoke ofisini now niwahi Batamnnnn
le Mutuz
Lemutuz kweli wewe kiboko toka nijiunge jf,kila mwaka unatungiwa Uzi lakini hauna papara.Unasubiri page ya 10 kuja kuwapa kubwa zao.- hahahaha ndugu yangu yangu usijali hakuna kitu kizuri in life kama kucheza na akili za wajinga kama huyu mleta mada cause alidhani atanichafua kumbe wameshindwa wengine wengi kabla yake hapa na kwenye real life, hahahahahaha huoni kwamba amenipa nafasi ya kuonyesha maisha yangu yalivyo genuine na uhakika that is all I could ask kutoka kwa any fool, hahahahahaha so worry not boss.
le Mutuz
hahahahaha mkuu hana wajukuu wa kuwapigia hadithi na kuota moto afanyejeUmeonekana oysterbay usiku huu, utakamatwa kwa kosa la uzurulaji mkuu, tulia nyumbani
Kuna kipindi ulisema kuwa ile nyumba yenye mgogoro unaiuza na ushapata mteja, leo unasema kuwa unataka kuiuza tena, inamaana yule mteja wa kipindi kile aliingiachaka?- hapana najenga mpya Mbweni hiyo nataka kuiuza kwa sababu ni nyumba yangu sio yako wala unaowasema sio yao mwenye hati ni mimi ni yangu hahahahahahahahaha
le Mutuz
Kuna kipindi ulisema kuwa ile nyumba yenye mgogoro unaiuza na ushapata mteja, leo unasema kuwa unataka kuiuza tena, inamaana yule mteja wa kipindi kile aliingiachaka?