Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
Sio rahisi kwa nafasi ya baba yake tangu enzi za mwalimu its obvious huyu bwana hajakulia maisha ya tabaka la kawaida so hakuna ambacho aliruka.
Huyu jamaa amesota zaidi ya unavyodhan. Angalia hata mazingira aliyokua anaishi mama yake ndio utapata jibu kwan Mzee aliwatelekeza.
 
Mwenzio anapiga hela ww unakalia fitina na kufatilia maisha ya watu haya na ww lete ushahidi mwenzio kaweka mjengo ofisi picha tumeona na ww tu kaka mkubwa Le Mutuz achana nae huyo mtt kula kulala piga kazi mkubwa
 
mkuu mbona kila siku una wachumba wapya kwa nini kila siku wanakuacha? kuanzia yule wa chuo cha ESAMI arusha, mara msomali yaani wanakuchun
 
Wengine humu uyo dingi yenu kabisa mtu mzima uyo mjue fanyeni kumheshimu binadamu hakosi mapungufu
 
Wengine humu uyo dingi yenu kabisa mtu mzima uyo mjue fanyeni kumheshimu binadamu hakosi mapungufu
Daah, anatafuta mwaka wa 57, umri wa kustaafu!
Shikamoo Jamaa

Sent from my KWICHIKWICHI using JamiiForums mobile app
 
lebebez achukua mifano kwa watoto wa dogo wanajua maisha ni nyumba
 

Attachments

  • nyumba ya jux.jpg
    41.8 KB · Views: 77
  • nyumba ya navy kenzo.jpg
    7.8 KB · Views: 86
  • nyumba ya ommy dimpoz.jpg
    20.7 KB · Views: 118
  • nyumba ya raymond wbc.jpg
    36.4 KB · Views: 86
Bora umesema wewe, ningesema mm asingenielewa. Le Mutuz kaa chini ulee wajukuuzo, usihangaike na vicheche akina Lulu, et al...umri umekutypa mkono.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Daaah ...masikini Le Mutuz...uliwafanya nini watu

Ukiwa na damu ya Le Mutuz halafu huna hela unaweza kujinyonga...yaani huku kuchukiwa sababu ni nini jamani

carnte himself
 
Kwa nini mnafuatilia maisha ya mtu? Mwacheni afanye kile apendacho, ila usimuige jali yako na tafuta maisha yako
 
Duuuh mzee anazingua
 
Wazo la kwanza kunijia ni labda lemutuz kapiga picha na mwenzi wako akaipost insta. Ikakuumiza
 
Ashapita umri wa kustaafu....bado anakula bata na visichana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…