Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
Hili zee ni kuwadi na dalali la Malaya wa mujini...soo ukiona picha kapiga na mabebeez ujuwe wako sokoni.
But inasikitisha kwa umri wake kuwa dalali wa vimalaya vya mjini. ..kwann hata asiwe dalali wa viwanja mashamba magari au hata majumba. Pole sana mzee malechela.
 
naona unamtetea lembulalaz
 
check utumbo uloandika nyokooooo et nimuonee wivu yule nyokooo
Kwanza ana nn ambacho sina?
Ukimalza kumtetea usimamishe hicho kiharage chako ukojoe ukalale
 
Huna interest nae afu unamuanzishia uzi? Nchi hii ina watu 50Mil hivi, utawafuatilia wangapi kwa sababu za kishamba kama hizo?
kwa umri wake ni kuwakupga pcha na vtoto au kulea family?
 
Ndio maana anajipendekeze kwa bashite na wauza ngada apate za kulala hotelin... zee mzima linashindana na watoto insta
 
hahahaaa hata akiwa wa trump akifanya umavi atapewa tu
 
Chizi uyu huwa ananiboa sana akiwa hotelini mezani atapiga ata biskuti ndio msosi ili umuone tu yupo hotelini....Mange ananikoshaga sana anavyomchanaga
kwa kwel ndo.maana nampenda mange anampaga makavu huyu kibabu gagula
 
check utumbo uloandika nyokooooo et nimuonee wivu yule nyokooo
Kwanza ana nn ambacho sina?
Ukimalza kumtetea usimamishe hicho kiharage chako ukojoe ukalale

Wewe jana juzi umetamba kurudi na ID mpya ulasemwaaa weew juu ya yale hadi ukabadili avatar. Kila mara ID zako zinafungiwa.

Eeeeeh

Wanaotakiwa kuwama wivu hivi nikaelewa koaina fulani ni wanawake haswaaaaa
 
Kweli kabisa lile babu Sijui linajiona bado toto maskin mtu ana miaka 60 hata baba yng mdg lkn kutwa kushinda istagram
 
Duniani kuna vitu usipovifanya ukiwa kijana,au usipokuw na uwez wa kuvifanya ukiwa huwez kumudu au upo bush,ivyo ukija mjini lazima utavifanya hata umri ukienda,sio kosa lake tatizo ni kuzaliwa kijijini na badae kuja mjini umri ukiwa umesogea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…