Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

Status
Not open for further replies.
Mkuu kama huu ushauri ni mzuri lakini lengo la kuuleta jukwaani ni kutaka watu wamjadili huyu jamaa mabaya yake. Kama lengo lako ni hilo to me you are very wrong.
Sidhani kama unaweza kumchagulia mtu maisha ya kuishi ambaye hakuhusu kivyovyote.
Wengi wanacomment sio kwa lengo la kumsaidia kimawazo hapana ni just for mockery tu.

Au umemisi zile Hahaa....you knw...am hambodiii.... King of all s.media....
 
Fanyeni yenu mbona mambo Ajabu haya lemutuz live life at fullest has if you don't know tomorrow
 
Unajuaje kama hotel analipiwa na matajiri uchwara maana ndiyo marafiki zake
 
Tatizo la huyu jana anaejiita lemutuz aliruka stage,starehe ujanani hakuzifanya so muda wake huu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha ha.. Mtu mzima kisheti huyo. Mwili mkubwa akili nukta. Ana watoto wakubwa lakini hakainao Hata mmoja,tena anao wa kike atamlaza wapi na yeye kutwa kucha kwenye birthday za mastar na kushinda club..
Watoto wanaishi na mama yao,Hata hawataki kusikia kuhusu baba. Maana anayo yafanya ya aibu.
Ptuuuu Mungu usinipe mwanume kama huyu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…