(1) Ewe kijana unapaswa kuwa na shauku ya kuacha kutanga tanga. Uwe na nia ya kutulia kwenye kazi moja uliyotumwa kuifanya humu Duniani.
(2) Hivyo tenga muda wa kutosha wa kusoma Kitabu chenye Maneno ya kweli,Mazuri,masafi, muhimu ambacho kitakuwa kina kukumbusha mambo muhimu ya wewe kutenda humu Duniani.
(3) Tenga Muda wa kusikiliza kitabu cha sauti (Audio Book ) kitabu chenye sauti ya maneno ya kweli,mazuri,masafi na muhimu.Sikiliza kitabu hiki usiku na mchana .Hii itapekekea kuepuka kuvamiwa na Mawazo na fikira mbaya .Ambazo huwa zina vamia kwa kasi wakati wa usiku.
(4) Tenga Muda wa kutosha wa kusikiliza nyimbo nzuri, safi ,zenye adabu nzuri, zenye heshima nzuri.,Zenye picha safi na nzuri. Ambazo zinakupa hamasa ya kufanya matendo mazuri.ambazo zinakupa hamasa ya kuwaza mawazo mazuri . Ambazo zinakupa hamasa ya kunena maneno mazuri.
ONYO NA ANGALIZO
KUMBUKA ukikosea ukasikiliza nyimbo zenye maneno mabaya utajikuta Automatically unafanya mambo mabaya.
(5) :Kazi ndogondogo zinazo jitokeza mbele yako zifanye kwa bidii na kwa kwa furaha.
Tenga Muda wa kubuni mambo ya kutenda kila siku.Na ikiwezekana yaandike. Kisha jioni fanya tathmini yapi yamefanikiwa na yapi hayajafanyika .Kisha rekebisha mapungufu kwenye mambo uliyo ya tenda.
(6): Tenga Muda wa kutosha wa kuwasiliana na Aliyekuleta huku Duniani.
Kwa kufanya hivyo itapekekea wewe kujua amekutuma huku Duniani kufanya nini. Je hicho unacho kifanya kwa sasa je ndicho alicho kutuma?
Je hapo ulipo kwa sasa ndo unapaswa kuwa. Haya yote utayafahamu ukitenga muda wa kutosha wa kuwasiliana na Aliyekuleta humu duniani.
(7) Mwisho Hakikisha una vaa nguo zenye adabu nzuri,safi na zenye maadili .Huku ukiwa na akiba ya kutosha ya Maarifa yaani unakuwa unajua likitokea tatizo hili na litatua kwa namna hii pamoja na kufurahia maisha kwa njia halali ambazo haziharibu akili na mwili wako.
UKIZINGATIA HAYO UTAONA MAISHA YAKO YAKIBADILIKA KUTOKA KWENYE HALI MBAYA KWENDA KWENYE HALI NZURI KILA SIKU.
ASANTE NA NAKUTAKIA SIKU NJEMA