C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
diamond kakupa mshahara?uliza mshahara kazin nshapokea ama laa
......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
diamond kakupa mshahara?uliza mshahara kazin nshapokea ama laa
......
Nimegundua hapa kuwa wanaume wanaongoza kumuonea wivu diomond kuliko wanawake! Kizuri ni kwamba huyu bwana mdogo mashabiki wake wengi ni watoto wa kike na wanamume wasio na wivu ama chuki za kimaendeleo! Na wanao mchukia wengi ni wakiume! I don know why!
Pengine ni sababu vijana wengi hawana kazi za kufanya kwa hiyo wakiona mtu ana tengeneza pesa wana mchukia! Na wapa pole wanao mchukia maana wana poteza muda maana haisaidii chochote! Vijana tafuteni kazi za kufanya diomond si chanzo cha matatizo
yenu!
Me napenda sana vijana wanao tengeneza pesa kuliko vijana wanaoshinda kutukana wenzao wanaofanya vizuri kimaendeleo.
Poleni sana mnao wachukia wanao jaribu kutengeneza pesa japo hamuendi kwenye show zao!
HAKUNA UBISHI DIAMOND ANAFANYA MUZIK MZURI NA SHOW NZURI ZINAZOENDA NA WAKAT KULIKO MWANAMUZIK YEYOTE NA KWA VILE WANAUME WENYE CHUKI NA WIVU NI WENGI WACHA ME NIENDELEE KUTANGAZA JEMA LOLOTE LITAKALO TOKEA KUMMHUSU PLATNUMZ
ATAKAPOPATIKANA MWANAMZIK MWINGINE ATAKAEFANYA VIZUI,NAYE NTAMSAPOTI
NI HAYO TU
sisifii but natoa taarifa kwa lila tukio zuri kumhusu
heaven on desert atakufungia kibwebwe hadi umuelewe.sijapata nafasi ya kumuelewa
Hivi nani mkali wa kuimba kati ya Diamond na Barnaba?
Hamna mtu mwenye chuki naye,labda baadhi ya watu,vile vile nadhani Ali Kiba alikuwaga juu kuliko Diamond ila now Ali Kiba hasikiki kabisaaa,so kila kitu kina mwanzo na mwisho,na kwa upande wa Diamond naona anaanza kufifia baada ya kutoa wimbo wake wa Nataka Kulewa,hauna mantiki yoyote alafu mbovu,nadhani akiendelea kutoa nyimbo zake zingine nzuri kama hii ya Kesho ni nzuri na zingine zote....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
hivi wewe haumckii ali kiba.?uko dunia gan.?
Nimegundua hapa kuwa wanaume wanaongoza kumuonea wivu diomond kuliko wanawake! Kizuri ni kwamba huyu bwana mdogo mashabiki wake wengi ni watoto wa kike na wanamume wasio na wivu ama chuki za kimaendeleo! Na wanao mchukia wengi ni wakiume! I don know why!
Pengine ni sababu vijana wengi hawana kazi za kufanya kwa hiyo wakiona mtu ana tengeneza pesa wana mchukia! Na wapa pole wanao mchukia maana wana poteza muda maana haisaidii chochote! Vijana tafuteni kazi za kufanya diomond si chanzo cha matatizo
yenu!
Me napenda sana vijana wanao tengeneza pesa kuliko vijana wanaoshinda kutukana wenzao wanaofanya vizuri kimaendeleo.
Poleni sana mnao wachukia wanao jaribu kutengeneza pesa japo hamuendi kwenye show zao!
HAKUNA UBISHI DIAMOND ANAFANYA MUZIK MZURI NA SHOW NZURI ZINAZOENDA NA WAKAT KULIKO MWANAMUZIK YEYOTE NA KWA VILE WANAUME WENYE CHUKI NA WIVU NI WENGI WACHA ME NIENDELEE KUTANGAZA JEMA LOLOTE LITAKALO TOKEA KUMMHUSU PLATNUMZ
ATAKAPOPATIKANA MWANAMZIK MWINGINE ATAKAEFANYA VIZUI,NAYE NTAMSAPOTI
NI HAYO TU
Barnaba ni mkali ila hana sura ya biashara, ni kama Messi na Beckham.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wewe unasura ya nini.?
sio kila sehem siasa.!Ninasura ya kupambana na wanachama wa CHADEMA kama wewe.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ninasura ya kupambana na wanachama wa CHADEMA kama wewe.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Viazi kama wewe huwa hamjifichi,unaleta siasa mpaka huku?