Ujumbe wangu kwenu mnao hate me kumsapoti Diamond humu ndani

Daa saivi hata mie waniboa,huyo dimondo anakulipa nn lakini?
 
Usijali sana lakini nimependa ulivyo copy and paste haya maneno kutoka sehemu fulani!

Daaa una mapenzi sana na diomond, usitegemee mtu apendwe na kila mtu!

Nimegundua hapa kuwa wanaume wanaongoza kumuonea wivu diomond kuliko wanawake! Kizuri ni kwamba huyu bwana mdogo mashabiki wake wengi ni watoto wa kike na wanamume wasio na wivu ama chuki za kimaendeleo! Na wanao mchukia wengi ni wakiume! I don know why!

Pengine ni sababu vijana wengi hawana kazi za kufanya kwa hiyo wakiona mtu ana tengeneza pesa wana mchukia! Na wapa pole wanao mchukia maana wana poteza muda maana haisaidii chochote! Vijana tafuteni kazi za kufanya diomond si chanzo cha matatizo
yenu!

Me napenda sana vijana wanao tengeneza pesa kuliko vijana wanaoshinda kutukana wenzao wanaofanya vizuri kimaendeleo.

Poleni sana mnao wachukia wanao jaribu kutengeneza pesa japo hamuendi kwenye show zao!

HAKUNA UBISHI DIAMOND ANAFANYA MUZIK MZURI NA SHOW NZURI ZINAZOENDA NA WAKAT KULIKO MWANAMUZIK YEYOTE NA KWA VILE WANAUME WENYE CHUKI NA WIVU NI WENGI WACHA ME NIENDELEE KUTANGAZA JEMA LOLOTE LITAKALO TOKEA KUMMHUSU PLATNUMZ

ATAKAPOPATIKANA MWANAMZIK MWINGINE ATAKAEFANYA VIZUI,NAYE NTAMSAPOTI

NI HAYO TU
 
Hivi nani mkali wa kuimba kati ya Diamond na Barnaba?
 
Hamna mtu mwenye chuki naye,labda baadhi ya watu,vile vile nadhani Ali Kiba alikuwaga juu kuliko Diamond ila now Ali Kiba hasikiki kabisaaa,so kila kitu kina mwanzo na mwisho,na kwa upande wa Diamond naona anaanza kufifia baada ya kutoa wimbo wake wa Nataka Kulewa,hauna mantiki yoyote alafu mbovu,nadhani akiendelea kutoa nyimbo zake zingine nzuri kama hii ya Kesho ni nzuri na zingine zote....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hivi wewe haumckii ali kiba.?uko dunia gan.?
 
Jinsia yako na wewe ni ipi?

Nimegundua hapa kuwa wanaume wanaongoza kumuonea wivu diomond kuliko wanawake! Kizuri ni kwamba huyu bwana mdogo mashabiki wake wengi ni watoto wa kike na wanamume wasio na wivu ama chuki za kimaendeleo! Na wanao mchukia wengi ni wakiume! I don know why!

Pengine ni sababu vijana wengi hawana kazi za kufanya kwa hiyo wakiona mtu ana tengeneza pesa wana mchukia! Na wapa pole wanao mchukia maana wana poteza muda maana haisaidii chochote! Vijana tafuteni kazi za kufanya diomond si chanzo cha matatizo
yenu!

Me napenda sana vijana wanao tengeneza pesa kuliko vijana wanaoshinda kutukana wenzao wanaofanya vizuri kimaendeleo.

Poleni sana mnao wachukia wanao jaribu kutengeneza pesa japo hamuendi kwenye show zao!

HAKUNA UBISHI DIAMOND ANAFANYA MUZIK MZURI NA SHOW NZURI ZINAZOENDA NA WAKAT KULIKO MWANAMUZIK YEYOTE NA KWA VILE WANAUME WENYE CHUKI NA WIVU NI WENGI WACHA ME NIENDELEE KUTANGAZA JEMA LOLOTE LITAKALO TOKEA KUMMHUSU PLATNUMZ

ATAKAPOPATIKANA MWANAMZIK MWINGINE ATAKAEFANYA VIZUI,NAYE NTAMSAPOTI

NI HAYO TU

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Negro please.....embu msifie na Ben paul basi ...maana wapenda mziki w abongo wnajua dogo anaweza..kha
 
Ninasura ya kupambana na wanachama wa CHADEMA kama wewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Viazi kama wewe huwa hamjifichi,unaleta siasa mpaka huku?
 
LOL!
idawa huwa ananizingua na ndiyo maana nikamjibu "utumbo". Hajawahi kuniQuote akaandika kitu cha maana.

Na wewe ungekuwa unanizingua, obviously hata wewe ningekujibu "utumbo".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

mimi nilikua nakuona Sumu kumbe we kiazi tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom