Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #81
Watu hawajui tu ila kati ya vitu naepuka na sipendi ni ugomvi kwa sababu siwezi kubeba hasira kifuani. Ndo maana nikiona mtu anataka tugombane namkwepa tu. Najifanya mjinga ili yaishe. Kuna maisha baada ya JFKuna ugomvi uliibuka hapa jamvini, mmoja wa wagimbanao akataka kukuingiza Na wewe kwenye ugomvi huo, Mungu ni mwema ulitumia hekima sana kujiepusha