Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Kuna ugomvi uliibuka hapa jamvini, mmoja wa wagimbanao akataka kukuingiza Na wewe kwenye ugomvi huo, Mungu ni mwema ulitumia hekima sana kujiepusha
Watu hawajui tu ila kati ya vitu naepuka na sipendi ni ugomvi kwa sababu siwezi kubeba hasira kifuani. Ndo maana nikiona mtu anataka tugombane namkwepa tu. Najifanya mjinga ili yaishe. Kuna maisha baada ya JF
 
Bora asije.. Alipo namuongezea na nyingine 5, ili azidi kumwaga nondo, pombe zikimuisha anakuwa kichwa empty , hakuna tena madini na maneno ya busara set[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee nikilewa nane itokee nifikie hizo nakuwa shunie mwingine kabisa shunie ambaye najiamini na siogopi chochote maka akee acha tu
Wacha wee, itabidi nikuagizie hizo 8, nimuone huyo shuni asiye muoga na mwenye kujiamini.. Maana nimekachoka haka kashunie akee kaoga na kasikojiamini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakunyumba asante sana kwa ujumbe sasa naomba uanze kupatana na mm kwa nini upo hivyo lakini kosa langu ni nini
Tusameheanee maisha mafupi jamanii,,siku hizi hata Shunie haniiti kwenye ubuyuuuu au kule jukwaa letu pendwa tunapishana kama mabasi
Halaf wote simba naomba tumpinge mtani wetu mzigua aka tea mitulinga
 
Wacha wee, itabidi nikuagizie hizo 8, nimuone huyo shuni asiye muoga na mwenye kujiamini.. Maana nimekachoka haka kashunie akee kaoga na kasikojiamini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka ebu niache mie
 
Kama siku ile nimekuandikia pm nilikuwa motoooooo nime elewa balaaa halaf najibu comment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu
Tusameheane tunaoweza kusameheana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana nilikua nakujibu kawaida tu maana nilijua kichwa chako kimepata moto. Tumeshasameheana yamepita mama.
 
Tusameheanee maisha mafupi jamanii,,siku hizi hata Shunie haniiti kwenye ubuyuuuu au kule jukwaa letu pendwa tunapishana kama mabasi
Halaf wote simba naomba tumpinge mtani wetu mzigua aka tea mitulinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana my dear usijal tupo pamoja kuna siku ulipost kitu ukasema hutaki mazoea na baadhi ya wadada wa humu kabisa wala hutaki wakutag popote nikaamua kujikalia pembeni nisije nikakutag ukaja na povu halafu na mm kuvumilia siwezi kabisa yaani Mungu atupe mwisho ulio mwema maisha ni mafupi sana
 
Back
Top Bottom